ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Magufuli anapowaita watu weupe mabeberu unamchukuliaje?
Hata sijui symmetry ya nilichoandika na unachojibu.

Kama nawaona huko majimboni wakati wanatafuta kura kila tatizo huko washaambiwa tatizo ni Magufuli na mfumo, mengine baadae. Sasa sijui lina msaidia vipi mwanakijiji ambae anataka kusikia hadithi za soko la mazao yake, maji, umeme; Lissu anadai hayo hayana haraka tatizo kubwa ni Magufuli.
 
I T V T B C

HAO WOTE WANAMUOGOPA

M W E N Y E N Y U M B A....!!!!!!
Kuna vyombo vya habari chungu mzima online unaweza sikiliza speech yote. Nenda ABC habari YouTube ipo yote.
 
Anzisha chadema fm ufungulie sauti yake hadi mwisho
 
Hata wao ITV hawapendi… mbona 2005-2015 walikuwa wapo live sana

Chanzo ni mabadiliko ya hali ya hewa
Uko sahihi kabisa! nyakati ngumu sana hizi kwa wanahabari.
 
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Tutarushiana wenyewe kwa wenyewe kwenye michina yetu,kwa mwendo huu imeongeza chachu kwa watu kutaka kujua Lisu kaongea nini,watu wanakiu sana ya kumsikiliza si wazee wala vijana,yaani wenye sim za tochi wako radhi waweke bundle kwenye sim ya mtu ili wapate kumsikia tu
 
1. Kuna hofu ya ndani, kwamba matamshi ya Lissu yananuka kesi? Hizi media zinaogopa sana kesi!
2. Kuna hofu ya watawala, vyombo vya habari karibu vyote vinaishi maisha magumu sana kwa kuwa hazipati matangazo ya serikali. Serikali ndio watangazaji wakubwa. Ukijifanya kusimamia taaluma unakufa njaa, ndio maana unaona magazeti kama Tanzanite yanalamba kurasa za matangazo ya serikali licha ya ukweli kwamba hayasomwi na wananchi wanayapuuza! Siku moja serikali itaulizwa kwanini ilikuwa inapeleka hela kwa magazeti yasiyosomwa?

ITV yenyewe imeishajiishia, sijui rating yake kwa sasa iko ngapi lakini Huu ni wakati mwafaka wa kuishusha kabia kwa kutangaza uasi dhidi yake! Isusiwe tu!
 
Hahaha...unanifanya nipaliwe.....alafu ww....urais wa manzese au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…