ITV siyo sahihi kutoa sauti ya Hotuba ya Tundu Lissu katika Mkutano wa ACT-Wazalendo

Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Akijipendekeza labda, "but a fighter will always not bow". Let them stop airing his speeches. There are other media channels to use to reach the audience.
 
Nakubali sana Lisu kutokana na uwezo wake mkubwa sana wa kujenga hoja, lakini kwa mtazamo wangu naona kama anaongea kwa jazba sana. Mtizame Mbowe akielezea jambo unapata hamu ya kumsikiliza, lakini Lisu kuna muda namuona kama anashindwa kujicontrol au ni overconfidence.
 
Sasa hilo siyo tatizo lake ni tatizo lako binafsi.

Kujiamini siyo kosa, haswa unapojiamini kwa kusimamia haki na huku una points za kutetea misimamo yako!
 
Inabidi vyama viwe na mitambo yao ya kurusha matangazo live angalau kupitia mitandao. Wanunue video camera na vifaa vya blackmagic au vidiU livestream. Ili warushe matangazo yao bila kikwazo chochote.
 
Yaani vyombo vya habari siku hizi vimegeuka nyau kwelikweli

Na huu ni ushahidi kuwa Magufuli kaharibu tasnia ya habari nchini, yaani ITV leo nacho kinakuwa chombo chenye Uwoga wa kurusha tukio kama lilivyo?

Aibu sana hii
Wamelipwa kurusha mkutano huu mbashara. Kwa hiyo warejeshe malipo hayo. Wamevunja mkataba. La sivyo tutawaita matapeli.
 
Inabidi vyama viwe na mitambo yao ya kurusha matangazo live angalau kupitia mitandao. Wanunue video camera na vifaa vya blackmagic au vidiU livestream. Ili warushe matangazo yao bila kikwazo chochote.

Kaka kabla utopolo huu haujaja nchini walihakikisja wanatunga sheria ya kubana online TVs, walijua mapema kuwa wakishafanikiwa kuthibiti TV za kawaida, watu watakwenda online, kwa hiyo wakaweka sheria mapema ya kubana uanzishwaji na umiliki wa online TVs
 
Kwani wewe uh mewacha lini hiyo biashara? Au ndiyo umeamua kututangazia?
Hapana Kichaa yule aliyekuwa anaishi Ubeligiji kwa biashara ya kufyatuliwa mtaro na kufunuliwa marinda.
 
Sasa hilo siyo tatizo lake ni tatizo lako binafsi.

Kujiamini siyo kosa, haswa unapojiamini kwa kusimamia haki na huku una points za kutetea misimamo yako!
Sawa mkuu, ndio maana nimesema kwa mtizamo wangu, pia naheshimu mtizamo wako.
 
Wamelipwa kurusha mkutano huu mbashara. Kwa hiyo warejeshe malipo hayo. Wamevunja mkataba. La sivyo tutawaita matapeli.
Ofcourse watakuwa wamelipwa, la sivyo wasingerusha.

Lakini ITV wamekuwa wahuni, wamefanyia censoring maudhui ya mzungumzaji kwa sababu za kisiasa tu.

Ni uhuni na ushenzi TV kuwanyima content wananchi kwa makusudi wakati content hiyo haijavunja sheria yoyote ya nchi!
 
Hahaa, kumbe sio Mimi peke yangu nimeona Hili
Sema Tundu Lissu naye itabidi apunguze ukali wa speech zake maana mainstream media zote Sasa zitaogopa kumrusha
Acha ujinga kuna sheria anavunja kwenye hayo maneno yake?
 
Duh! Sasa labda chadema na act watumie youtube channel zao kisha waziunge live na kimashine cha blackmagic (bei haizidi 5m) kilichoungwa na camera na bando la 4G kama 100GB. Kisha wafanye kushare link na watu wa subscribe. Na kila wakitaka kufanya jambo wa share link ili wawe live watu waone.
 
Inabidi vyama viwe na mitambo yao ya kurusha matangazo live angalau kupitia mitandao. Wanunue video camera na vifaa vya blackmagic au vidiU livestream. Ili warushe matangazo yao bila kikwazo chochote.
Bado huko Sheria yao ya kipuuzi wameichomeka kuzibana online tv
 
Kwa hizi hila za serikali hii wanaweza wakazima hata mkongo wa taifa kabisa

Hatari sana
 
Nani anataka kufokewa namna hiyo.

Yaani device yako halafu mtu anakufokea, si unazima tu.

Ndio maana tunasema Lisu sio presidential material, abakie kuwa mwanaharakati tu.
 
ITV wamepewa onyo kutorusha habari za ITV.
KUNA haja ya ku-boycott ITV na TBC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…