Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Iweje misikiti ijengwe kwenye maeneo ya serikali?

Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Wakristo wanachotewa Kodi kupitia MoU ya 1992 iliyosainiwa na Prof Mahalu kwa niaba ya Kanisa na Edward Lowassa kwa niaba ya Serikali
 
Sio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
wavaa kobaz ni ngumu sana kuboresha ama kujenga makao yao bila ya msaada kutoka kwa waarabu. kuchimbiwa visima, kujengewa masinagogi n.k
 
Basi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.

Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.

DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Tupe chanzo cha tafiti yako kama hutojali
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Shule ya sekondari ya Galanos kuna msikiti ulijengwa hapa pia. Unapunguza umbali wa wasomi kwenda kuswali japo majani mapana kuna msikiti jirani kabisa☹
 
Makanisa yangejengwa kwenye maeneo ya serikali mngekaa kimya kweli?
Shule ya sekondari ya Galanos kuna msikiti ulijengwa hapa pia. Unapunguza umbali wa wasomi kwenda kuswali japo majani mapana kuna msikiti jirani kabisa☹
 
Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.

Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.

Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Labda huelewi kuwa Tanzania nzima ni eneo la Serikali, hata hapo kwako unapoishi ni eneo la Serikali.
 
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Hahahaha! Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waloga? Chuo chenyewe ni Jordan au st Joni? Rico au?
 
Duuh nyie wagalatia mbona mmezidi sasa kila siku mnaanzisha nyuzi za kuwahusu waislam.. ni vizuri lakini kitu ukikifuatilia kiundani ipo siku utakielewa wengi wenu waliofatilia waislam kiundani wameishia kuujua ukweli na kubadilika kabisa
 
Tuko kwenye njia Moja na mwisho wetu ni mmoja kwanini mmoja amchukue mwingine na kwanini mmoja amseme mwingine, We are at the same race and the same end we should love each other ......
 
Tuko kwenye njia Moja na mwisho wetu ni mmoja kwanini mmoja amchukue mwingine na kwanini mmoja amseme mwingine, We are at the same race and the same end we should love each other ......
Sifa ya kafiri ni chuki chuki kwa waidilamu
 
Wewe ujinga tu na chuki inakusumbua si umesema mama samia anajenga misikiti itaje na hiyo chuki ya
 
Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Kama huo ndio mtazamo wako wa kujifariji... basi
Tofauti yake ni msingi wa imani ya kweli..( hereafter )..

Wakati wengine ( worldwide) wakipungua ktk nyumba za ibada ..wengine bado hata hazitoshi...
 
Hili halihitaji sensa babu,ni sawa na kusema mbeya au Arusha Kuna wakiristo wengi kuliko waislam,iko wazi
Zote hizo ni hisia tuu kama hujafanya sensa ya kujua watu na dini zao hapo ni kuongea uongo
 
Back
Top Bottom