Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakristo wanachotewa Kodi kupitia MoU ya 1992 iliyosainiwa na Prof Mahalu kwa niaba ya Kanisa na Edward Lowassa kwa niaba ya SerikaliSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
wavaa kobaz ni ngumu sana kuboresha ama kujenga makao yao bila ya msaada kutoka kwa waarabu. kuchimbiwa visima, kujengewa masinagogi n.kSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Tupe chanzo cha tafiti yako kama hutojaliBasi huna akili? Sasa unashangaa DAR kuwa na misikiti MINGI? Kwa Taarifa yako, DAR ni moja ya mikoa ambayo majority ni WAISLAM na utamaduni wao ni huo wa KIISLAM kwa sehemu kubwa.
Inashangaza MBEYA kila hatua 3 kuna KANISA na hakuna malalamiko, wakati mwingine mjue kuna kanda ziko DOMINATED na WAISLAM KWA ZAIDI YA 90% hivyo ujenzi wa misikiti ni kawaida.
DAR, TANGA, LINDI, TABORA, MTWARA, MOROGORO, PWANI hayo maeneo MISIKITI ni MINGI kuliko MAKANISA
Imejibiwa kibabe sanaMbeya kuna Ferry?
Shule ya sekondari ya Galanos kuna msikiti ulijengwa hapa pia. Unapunguza umbali wa wasomi kwenda kuswali japo majani mapana kuna msikiti jirani kabisa☹Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Shule ya sekondari ya Galanos kuna msikiti ulijengwa hapa pia. Unapunguza umbali wa wasomi kwenda kuswali japo majani mapana kuna msikiti jirani kabisa☹
Labda huelewi kuwa Tanzania nzima ni eneo la Serikali, hata hapo kwako unapoishi ni eneo la Serikali.Iweje kwenye maeneo ya serikali ijengwe misikiti? Soko la kukaangia samaki Ferry kuna msikiti, nanunaendelea kujengwa.
Mwenge kuna msikiti uliojengwa tangu miaka ya 1974, lakini serikali inajenga msikiti mwingine hapo kwenye stand mpya ya daladala. Umbali kutoka msikiti mkubwa hadi huo msikiti mpya hata mita 100 hazifiki.
Badala ya serikali kujikita kwenye kuboresha miundombinu, yenyewe imekuwa busy na shughuli za kidini
Hahahaha! Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliye waloga? Chuo chenyewe ni Jordan au st Joni? Rico au?Waislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Wao wana MoUSio hilo tuu, lingine serikali huomba mataifa ya nje kujenga misikiti, sijawahi ona ikiomba msaada wa wakristo kujengewa makanisa
Hakuna taasisi ya kanisa inayosaidia jamii bali wanafanya biashara,Ni huduma kwa jamii Kama ambavyo tu serikali imekua ikitoa ruzuku kwa taasisi za kanisa zinazosaidia jamii tangu uhuru
Lawama hata nyie mnazo, mfano huu uzi ni wa mgalatia, mnekuwa mnajiweza mngeliliaWaislamu hawajiwezi hawawezi panga vitu.. Wanachoweza ni lawama
Acheni kuisakama ardhi takatifuHiyo misikiti iko MBEYA???
Sifa ya kafiri ni chuki chuki kwa waidilamuTuko kwenye njia Moja na mwisho wetu ni mmoja kwanini mmoja amchukue mwingine na kwanini mmoja amseme mwingine, We are at the same race and the same end we should love each other ......
Kama huo ndio mtazamo wako wa kujifariji... basiWaislamu wako busy kujenga misikiti maeneo ya umma na Wakristo wako busy na ujenzi wa mashule na vyuo vikuu. Ni maswala tu ya kipaumbele
Zote hizo ni hisia tuu kama hujafanya sensa ya kujua watu na dini zao hapo ni kuongea uongoHili halihitaji sensa babu,ni sawa na kusema mbeya au Arusha Kuna wakiristo wengi kuliko waislam,iko wazi
Pole Sana Kama umeumizwaZote hizo ni hisia tuu kama hujafanya sensa ya kujua watu na dini zao hapo ni kuongea uongo