Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
Mimi sio mhasibu kitaaluma.Umemaliza uhasibu chuo gani mkuu? Wewe ni mfano wa kuigwa unaeipambania kada yako
Mbona kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Kwanini umeamua kuni-prove wrong ghafla?Mitaji uliwapa wewe? Km waliweza kutengeneza 400mln watashindwa vipi kuchanganua hesabu?!
Wao serikali watoe ajira kwa wahasibu kisha wafanyabiashara watawakuta huko huko..!
Wewe sio mfanyabiashara. Na kama unafanya basi ni ile ya kujiuza. Kontena uliloagiza wewe ni la kwenye ndoto zako. Halafu ID feki isikufanye ujione uko salama sana. Umeandika comments nyingi za matusi nimeona NIKUONYE. Tukikutana uso kwa uso utaweza kutamka haya maneno uliyoandika? Kuwa makini ndugu.Unajua watu wanalipa kodi ngapi, unajua tukiagiza kontena thailand, china, dubai tinakamuliwa kiasi gani? Unajua kama burundi, zambia, uganda kenya tunaagizia sehemu moja na wao hadi bidhaa inafika destination inakua bei chini kuliko sisi kodi karibu 14 Kwa bidhaa moja? Kila mwaka mnaongeza vikorokoro kwenye kodi tuko kimya leo choko maskini kunuka kama wewe unajifanya mchambuzi wa kodi
Mtazamo huu ndio tatizo linapoanzia, wakati nafanya kwenye kampuni hizi za uhasibu niligundua wafanya biashara wengi wana mtazamo kama huu ila pukipiga hesabu pesa wanayolipa makampuni haya ni kubwa sana kuliko wangeajili hata mtu wa diploma tu. Wansteseka sana na TRA kwa vitu vidogo sana wanafirisika sana na kutegemea ushirikina wengi wao basi tu uwanja wa fujo.Wahasibu wanao bila hata kuajiri.
Huwa wana outsource kazi za kihasibu zifanywe na accounting firms zilizojaa kitaani.
Unataka hizi kampuni kama delloite na pwc zikale wapi ?
Ni hasara kufuga ng'ombe huku wauza maziwa wamejaa mtaani