Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

Iwepo sheria kuwalazimisha wafanyabiashara wote wenye turnover ya zaidi ya Tsh 400m kwa mwaka wawe na wahasibu angalau ngazi ya certificate.

Umemaliza uhasibu chuo gani mkuu? Wewe ni mfano wa kuigwa unaeipambania kada yako
 
Mitaji uliwapa wewe? Km waliweza kutengeneza 400mln watashindwa vipi kuchanganua hesabu?!
Wao serikali watoe ajira kwa wahasibu kisha wafanyabiashara watawakuta huko huko..!
Mbona kwa muda mrefu nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu? Kwanini umeamua kuni-prove wrong ghafla?
 
Unajua watu wanalipa kodi ngapi, unajua tukiagiza kontena thailand, china, dubai tinakamuliwa kiasi gani? Unajua kama burundi, zambia, uganda kenya tunaagizia sehemu moja na wao hadi bidhaa inafika destination inakua bei chini kuliko sisi kodi karibu 14 Kwa bidhaa moja? Kila mwaka mnaongeza vikorokoro kwenye kodi tuko kimya leo choko maskini kunuka kama wewe unajifanya mchambuzi wa kodi
Wewe sio mfanyabiashara. Na kama unafanya basi ni ile ya kujiuza. Kontena uliloagiza wewe ni la kwenye ndoto zako. Halafu ID feki isikufanye ujione uko salama sana. Umeandika comments nyingi za matusi nimeona NIKUONYE. Tukikutana uso kwa uso utaweza kutamka haya maneno uliyoandika? Kuwa makini ndugu.
 
Mbona ndivyo ilivyo miaka mingi, sheria ipo tu na iko wazi na inakutaka ukifikisha milioni 100 wewe unataka kuisogeza iwe milioni 400?
 
Wafanyabiashara wenye mabilioni wanaachwa, kodi ikusanywe huko, VAT ielekee kua single digit itasaidia mzunguko wa uchumi, matumizi mabovu piga hesabu kila mwaka VX V8 , zinanunuliwa kibao, mafuta inatakiwa haraka sana mfunge gesi magari ya serikali yatumie gesi kubana matumizi, watanzania wanalipa direct tax na indirect tax kila leo kusema tax base ni ndogo mnamaana gani?
 
Kandarasi kubwakubwa wasipewe wageni, yawezeshwe makampuni ya wenyeji, yapate tenda ili matrillion mengi yanayotolewa nje kama malipo yabakie nchini
 
Juhudi zifanyike kwenda kujifunza sheria za uwekezaji Botswana wao kwenye almasi na dhahabu hupata hadi asilimiay 40% ya faida na ndio sehemu kubwa wanategemea na pesa yao pullar ina nguvu kuliko kawaida,
 
Juhudi zifanyike kwenda kujifunza sheria za uwekezaji Botswana wao kwenye almasi na dhahabu hupata hadi asilimiay 40% ya faida na ndio sehemu kubwa wanategemea na pesa yao pullar ina nguvu kuliko kawaida
 
Aslimia kubwa ya wafanyabiashara wenye hiyo turnover wana wahasibu wanaowafanyia hesabu na kusubmitt tax returns kwa niaba yao ila huwezi kuwaona kwenye day to day activities.
 
Mabilioni yanayotumika kuagiza mafuta ya kula ikiwamo mawese, yarudishwe nguvu kubwa iwekwe kwenye kilimo cha chikichi kyela, mlimba, mgeta, kigoma yote, watu wapande chikichi Kwa nguvu kubwa
 
Uagizaji wa bidhaa uangaliwe upya na Kwa kasi, mfano kilimo cha pamba kihimizwe zaidi na kushawishi viwanda vya nguo kujengwa nchini, mikoa ya kagera, mwanza, simiyu, geita, mara pamba ihimizwe zaidi na ilimwe kisasa, mbali ya kutoa ajira lakini itawezesha mabilioni ya kuagiza mitumba yanabakia nchini
 
Vitu kama udi, pipi, toothpick, cottonbuds(pamba za masikioni) , dawa za binadamu ambazo zinatengenezwa nchini na zisimamiwe ubora iwe marufuku kuagizwa nje,
 
Kuhimiza ujenzi mkubwa wa viwanda vya kuchakata mazao mfano mahindi NFRA isiishie kununua mahindi Kwa mkulima, ishirikiane na wadau kua na viwanda walau kila kanda kaskazini kiwanda kiwe handeni, Ruvuma, Rukwa hasa sumbawanga au mbeya huko viwanda hivo visage mahindi Kwa ubora sahihi, unga uwe packed na wenye ubora kuliko kuexport mahindi tusafirishe unga wa kula, halafu tulete teknolojia zile pumba za mahindi hua zinazalisha mafuta ya kula tujitahidi pumba isitupwe
 
Tuwawezeshe vijana wetu, Kwa mfano ile BBI ya bashe nilidhani mabilioni yale yaongezwe, kwenye mikopo ya vijana huko halamashauri, vijana wawekwe katika makundi, wafundishwe hata kilimo cha miti ya mkaa ile specie ya miezi sita, kuna mataifa mengi yanahitaji mkaa na hawana pakuupata na maeneo ya kupanda ile miti hawana, sisi maeneo yapo , maji ya visima yapo, inashindikana nini, miaka sio mingi namibia kupitia USAID one export aina hiyo ya mkaa na kujipatia mamilioni ya dollar za marekani , hebu tufanye hivo kuliko vijana wetu kizurura hovyo
 
Screenshot_20240831-034514.png
 
Kuliko kuwaza kodi kodi, tufungue akili upande huo kama nchi tuone kama hatutofika
 
Wahasibu wanao bila hata kuajiri.


Huwa wana outsource kazi za kihasibu zifanywe na accounting firms zilizojaa kitaani.

Unataka hizi kampuni kama delloite na pwc zikale wapi ?

Ni hasara kufuga ng'ombe huku wauza maziwa wamejaa mtaani
Mtazamo huu ndio tatizo linapoanzia, wakati nafanya kwenye kampuni hizi za uhasibu niligundua wafanya biashara wengi wana mtazamo kama huu ila pukipiga hesabu pesa wanayolipa makampuni haya ni kubwa sana kuliko wangeajili hata mtu wa diploma tu. Wansteseka sana na TRA kwa vitu vidogo sana wanafirisika sana na kutegemea ushirikina wengi wao basi tu uwanja wa fujo.
 
Back
Top Bottom