Special mission nyingi unakuta anakuwa na wazazi wake, wadogo zake, wakubwa zake, marafiki na machawa piaHio inaitwa special mission na unapofanya special mission hauwi peke yako lazima uwe na kikosi maalum kinakua nyuma yako km under covers, shtuka mkuu
Huyo Klyn Ana watu nyuma, sio mchezo msimchukulie poaHuwa najiuliza sana, marehemu wakati yupo hai na anamkaza huyu sister kwanini hakumpa shea yake kabisa????
Maana kama Mengi angekuwa anampenda na anataka kumpa mali zake si angempa na kumilikisha wakati yupo hai.
Ila kwa wachagga huyu mama atajuta kuwajua. Tujipe muda
Pamoja na hayo Jack amekuwa mroho kupitiliza japo kwa Wachaga anajisumbua hakuna atakachoambulia zaidi ya gawio la watoto na si kama atakavyo yeyeKiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.
Kiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.
Wachaga wanachukia wahaya. Ila wachaga wapunguze uchawi hasa hasa wamachame uchawi uchawi mwingi.Jack syo muhaya, ni muha wa Rwanda.
Over
Dunia uwanja wa fujo. Pesa karatasi, nyumba kaburiHuyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kiasi kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashauri wanaume wenzangu ikitokea bahati mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
Nenda kamsaidie ashinde kesi sababu inaonekana imekuuma sana ilaumu mahakama iliyotoa rullingKumbe uenda tuna muhukumu jack bure.kumbe wale watoto Wana 25% kibindoni tena sio za urithi.
Bado 37.5% za mama yao.
Ndo maana mzee mengi akaandika wapewe BUKU BUKU.
kea sababu hawa watoto wa mengi wawili wakubwa watawazidi wenzao.
Ndo maana mengi akaamua 37.5% za kwake warithi wale mapacha wake.
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.nadhani hata Mimi haujanielewa.
Yaani kutengana kwa baba na mama watoto wanapewa vipi Mali?
yaani wanahusika vipi na kutengana kwa wazazi wao na Mali zao?
Uenda mzee mengi hakuwa na msimamo kwa wake zake.
Ndo maaana kumbe jack akataka aandikiwe ule urithi.
Yaani watoto wa kwanza Wana 25% peke yao.
Alafu hapo hapo Wana 37.5% urithi upande wa mama yao.
Pia bado Wana 37.5% upande wa baba yao.
Nimeanza kupata picha ya ule wosia wa BUKU BUKU.
Mzee wakati mwingine ukifikilia unaona kidogo alikuwa sahihi kwa upande wake, aliona watoto wadogo ndio wana stahili urithi wake
Mtoto wa tatu kuzaliwa akiwa wa kiume hilo ni jina lake la nyumbani Abdiel MikuHapo sijui imekaaje maana kwa jinsi ninavyojua mm mtoto wa tatu wa kiume uchagan anaitwa miku
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
Kwendraaaaa huko wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaniharibia mishemishe zangu ujue...
Yaan napendaga majina ya kinyumbani. MnoooMtoto wa tatu kuzaliwa akiwa wa kiume hilo ni jina lake la nyumbani Abdiel Miku
Bas hatareee tupu.Anayeenda mahakamani ni nani sasa kuwapeleka wenzake
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
Uko very arrogant. Umeelewa tofauti ya urithi na mgawanyo wa shares? Hizo ni shares ambazo wamezitolea jasho. Klyn yeye ana proffessinal tofauti na kuuza mbwali billicanas club enzi hizo. Hivi hata unajua maana ya kampuni kweli? Hujui kama huwa kuna kuuza na kununua na kugaiwa hisa? 25 percent ni hisa na siyo urithi. Kampuni maana yake ni nini? Tuanzie hapo.Mimi ninavyojua wazazi wakitengana.wanagawana wao kwa wao wazazi.haya mpaka watoto wanapewa mganyo mapya.
Sijawahi kuona watoto wakipewa Mali wakati wazazi wao wametengana.
Kwa hyo kujaza wino kwenye peni ndo wamepewa 25% ?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mimi nipo upande wa wosia WA BUKU BUKU.
Nenda kamsaidie ashinde kesi sababu inaonekana imekuuma sana ilaumu mahakama iliyotoa rulling
Huyo jamaa ujinga na ushabikie unsomsumbua hakuna mtu anayepinga jack asipewe urithi Ila swala la kutaka asilimia zote ndo watu wanachopinga na matamanio ya kutaka asilimia zote ndo yanaraise question ❓❓❓Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
Sio tu watoto wanapinga jack Bali kuna watu walioanza na mengi from scratch wako upande wa watotoUko very arrogant. Umeelewa tofauti ya urithi na mgawanyo wa shares? Hizo ni shares ambazo wamezitolea jasho. Klyn yeye ana proffessinal tofauti na kuuza mbwali billicanas club enzi hizo. Hivi hata unajua maana ya kampuni kweli? Hujui kama huwa kuna kuuza na kununua na kugaiwa hisa? 25 percent ni hisa na siyo urithi. Kampuni maana yake ni nini? Tuanzie hapo.
Hivi wewe shule yako ni ya wapi[emoji23][emoji23][emoji23] na mbona wakomalia angali hujui sheria? Wewe ni kiazi sana mkuu. Naomba kujua sheria juu ya baba kwa watoto na unambie ni vifungu gani hivyo ambavyo vinabagua baba kumnyima mwanaye urithi angali hakuna sababu yoyote ile. Wewe ni mbikoNipe sheria inayosema wazazi wakiachana na watoto wapewe Mali za wazazi wao