Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.