Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Hio inaitwa special mission na unapofanya special mission hauwi peke yako lazima uwe na kikosi maalum kinakua nyuma yako km under covers, shtuka mkuu
Special mission nyingi unakuta anakuwa na wazazi wake, wadogo zake, wakubwa zake, marafiki na machawa pia
 
Huwa najiuliza sana, marehemu wakati yupo hai na anamkaza huyu sister kwanini hakumpa shea yake kabisa????
Maana kama Mengi angekuwa anampenda na anataka kumpa mali zake si angempa na kumilikisha wakati yupo hai.
Ila kwa wachagga huyu mama atajuta kuwajua. Tujipe muda
Huyo Klyn Ana watu nyuma, sio mchezo msimchukulie poa
 
Kiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.
Pamoja na hayo Jack amekuwa mroho kupitiliza japo kwa Wachaga anajisumbua hakuna atakachoambulia zaidi ya gawio la watoto na si kama atakavyo yeye
 
Kumbe uenda tuna muhukumu jack bure.kumbe wale watoto Wana 25% kibindoni tena sio za urithi.
Bado 37.5% za mama yao.
Ndo maana mzee mengi akaandika wapewe BUKU BUKU.
kea sababu hawa watoto wa mengi wawili wakubwa watawazidi wenzao.
Ndo maana mengi akaamua 37.5% za kwake warithi wale mapacha wake.
Kiufupi hii kesi imekaa vibaya sanaa.. Mengi na mke wa kwanza wangegawana mali hii kesi ingekuwa rahisi sanaa maana zile mali za mengi zilizobaki ilibidi mengi awagiwie watoto wake ikiwemo hawa aliowazaa..!! Jack angesimamia mali za watoto wake bhasi. Shida mengi na mke wa zamani bado walikuwa na kesi juu ya mgawanyo wa mali ambayo ni ngumu kuisolve. Hawa mwishi yatakuja kuwa yale ya yule tajiri wa madini Arusha msuyaa.
 
Huyo dada ana haki pia kama mke wa Mengi lakin sio kwa namna anavyotaka. Atapewa kiasi kama haki yake na watoto ila sio kama anavyotaka. Pili. Nawashauri wanaume wenzangu ikitokea bahati mbaya mkeo akifa au mmeachana ukubwani usioe aisee. Unawaachia mateso watoto bure.
Dunia uwanja wa fujo. Pesa karatasi, nyumba kaburi
 
Kumbe uenda tuna muhukumu jack bure.kumbe wale watoto Wana 25% kibindoni tena sio za urithi.
Bado 37.5% za mama yao.
Ndo maana mzee mengi akaandika wapewe BUKU BUKU.
kea sababu hawa watoto wa mengi wawili wakubwa watawazidi wenzao.
Ndo maana mengi akaamua 37.5% za kwake warithi wale mapacha wake.
Nenda kamsaidie ashinde kesi sababu inaonekana imekuuma sana ilaumu mahakama iliyotoa rulling
 
nadhani hata Mimi haujanielewa.
Yaani kutengana kwa baba na mama watoto wanapewa vipi Mali?
yaani wanahusika vipi na kutengana kwa wazazi wao na Mali zao?
Uenda mzee mengi hakuwa na msimamo kwa wake zake.
Ndo maaana kumbe jack akataka aandikiwe ule urithi.
Yaani watoto wa kwanza Wana 25% peke yao.
Alafu hapo hapo Wana 37.5% urithi upande wa mama yao.
Pia bado Wana 37.5% upande wa baba yao.
Nimeanza kupata picha ya ule wosia wa BUKU BUKU.
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
 
Mzee wakati mwingine ukifikilia unaona kidogo alikuwa sahihi kwa upande wake, aliona watoto wadogo ndio wana stahili urithi wake

Mkuu watoto wakubwa wa marehemu wamekulia na kuwa sehemu ya maisha yao kwenye mali za marehemu, yaani wamemaliza shule tu na kuanza kutumikia na kuendeleza biashara ya familia maisha yao yote
Halafu ghafla tu mzee anakufa mali asilimia tisinj unawapa wapa watoto wadogo chini ya uangalizi wa mama yao ambaye kitu pekee alikua anajua ni kula bata Dubai......
 
Mimi ninavyojua wazazi wakitengana.wanagawana wao kwa wao wazazi.haya mpaka watoto wanapewa mganyo mapya.
Sijawahi kuona watoto wakipewa Mali wakati wazazi wao wametengana.
Kwa hyo kujaza wino kwenye peni ndo wamepewa 25% ?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Mimi nipo upande wa wosia WA BUKU BUKU.
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
 
Nipe sheria inayosema wazazi wakiachana na watoto wapewe Mali za wazazi wao

Uko very arrogant. Umeelewa tofauti ya urithi na mgawanyo wa shares? Hizo ni shares ambazo wamezitolea jasho. Klyn yeye ana proffessinal tofauti na kuuza mbwali billicanas club enzi hizo. Hivi hata unajua maana ya kampuni kweli? Hujui kama huwa kuna kuuza na kununua na kugaiwa hisa? 25 percent ni hisa na siyo urithi. Kampuni maana yake ni nini? Tuanzie hapo.
 
Mimi mwenzako uwa NINA AKILI HURU.
Kanuni ya maisha yangu.MIMI SIKO SAHIHI WALA WEWE HAUKO SAHIHI.
umeona wapi watoto wanapewa mgawo wazazi wakiachana?na bado hawajafa?
Nenda kamsaidie ashinde kesi sababu inaonekana imekuuma sana ilaumu mahakama iliyotoa rulling
 
Yaani wewe na ID yako hakuna tofauti. Umekomaa ukielekezwa huelekezeki. Yes, hiyo 25% ni haki yao kwakua walikua wakishiriki shughuli za kampuni toka wanasoma primary huko wanajaza wino wa bic mpaka sasa wana miaka 50 huko kwanini tuone ajabu wao kupewa shares? Hizo ni haki yao kwakua ni sehemu ya uzalishaji. Mama yao na baba yao wakagawana hizo 75 zilizobaki ambapo mama yao alichagua kuwapa wanae wapendwa shares zake. Zilizobaki ni za baba ambapo pia wnaa haki ya kupata urithi wa baba yao. U see? That means wao watakua majority share holders. Hiyo kusema sijui jacky aliona mengi hana msimamo ndo akamwambia amuandikie chake mapema utakua unachekesha mkuu. Very light argument. Sheria pia zina matakwa yake. Jacky anajichanganya mwenyewe.
Huyo jamaa ujinga na ushabikie unsomsumbua hakuna mtu anayepinga jack asipewe urithi Ila swala la kutaka asilimia zote ndo watu wanachopinga na matamanio ya kutaka asilimia zote ndo yanaraise question ❓❓❓
 
Uko very arrogant. Umeelewa tofauti ya urithi na mgawanyo wa shares? Hizo ni shares ambazo wamezitolea jasho. Klyn yeye ana proffessinal tofauti na kuuza mbwali billicanas club enzi hizo. Hivi hata unajua maana ya kampuni kweli? Hujui kama huwa kuna kuuza na kununua na kugaiwa hisa? 25 percent ni hisa na siyo urithi. Kampuni maana yake ni nini? Tuanzie hapo.
Sio tu watoto wanapinga jack Bali kuna watu walioanza na mengi from scratch wako upande wa watoto
 
Nipe sheria inayosema wazazi wakiachana na watoto wapewe Mali za wazazi wao
Hivi wewe shule yako ni ya wapi[emoji23][emoji23][emoji23] na mbona wakomalia angali hujui sheria? Wewe ni kiazi sana mkuu. Naomba kujua sheria juu ya baba kwa watoto na unambie ni vifungu gani hivyo ambavyo vinabagua baba kumnyima mwanaye urithi angali hakuna sababu yoyote ile. Wewe ni mbiko
 
Back
Top Bottom