Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Naomba nikujibu wewe wa mwisho.
Mtego wa kuwapa watoto ulikuwa ni kitanzi kwa mengi bila yeye kujua.
Walipoamua kuachana.
Mercy mengi akawa mjanja na kuwaza atamzidi vipi mengi Mali katika kugawana?ndipo akaja na wazo kuwa wawape watoto 25 %wao wabaki na 75.na Kama unavyojua watoto uegemea kwa mama.
Mama akapiga hesabu yeye akichukua 37.5.na watoto wake wakichukua 25 atakuwa na 63%.
Bado hajamzidi mengi?
Kwa hyo mengi kapigwa bila kujua.
Na uenda alikuja kujua mwishoni ndo maana akaja kuandika wosia wa BUKU BUKU inakuwa tayari ameshachelewa.mali zinarudi upande wa mwanamke.
HAO NDO WANAWAKE WA KICHAGA AKILI KUBWA
 
Kumbuka aliishi na yule mbjlgaria akamkimbia(tena hapa wana kisa chao mpk interpol ilingilia kati kuwa save)..akampata kinje
Huyu ni mtu wa kutangatanga tu
Alipompata mengi hapo sasa alitakiwa kutulia,ajijengee aache machepele

Ova
Hawezi kutulia na sio mfanyabiashara wa chochote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Au wale vijana waliokuwa wanapiga picha mjengoni Kinondoni wamekula pozi kabisa utadhani na wao ni The Mengi's kumbe Waha wa Manyovu [emoji3]
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waha wa Manyovuuuu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Jamani wazee wanawafuata wenyewe, hivi mzee akute mzigo umezagaa tu atashindwa kuubeba na kwenda kufaidi? Kijana mwenzio hana pesa lakini kitu chakufanya anacho haina shida tutapambana wote, sasa mzee kapuku wanini kwa mfano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aje na pesa zake .
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] umenijibia, wazee wenyewe wanawataka mabinti sasa watu wanataka kuwapangia, wakiwa vifuani huko ndiyo hutoa ahadi zote hizo ha ha ha ha ngoja nimsadie mtu kutizama mpira[emoji3]
Mfalme Daudi alipokuwa Mzee sana alitafutiwa mrembo kati ya warembo wa binti Israel amtunze na kumtia joto Mfalme hadi mauti ilipomchukua Mfalme. Mabinti kuwatunza wazee ni jambo la toka enzi. K Lyn alimtunza Mzee wetu.
 
Hivi unajua wababu wakibongo? Watamtaka tu, umesahau wanao fiaga hotel huku mkewe yupo nyumbani, kuna mwingine alifia kwenye gari na kajukuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hamna aibu nyie wanume.
 
MKUU KWANI HAO WATOTO NI WA NANI , MAANA HATA SHERIA YA TANZANIA INASEMA MTOTO AKIFIKISHA MIAKA 7 ANAKAA KWA BABA,
KWANI HAO WA TOTO SI WA MENGI KWANI SHIDA IPO WAPI HAPO , HIO SIO SHIDA MKUU.
ILA KUMBUKA MDA GUO JACK ALIKUWA SIJUI WAPO HUKO HATA HAKUWEPO HIVYO HAVIMUUSU MKUU.
NA HAO WAKUMBWA NI WATOTO WA MENGI WALA MENGI HAKUPIGWA TOFAUTI NA WEWE UNAVYODHANI 😃😃😃.
KWANI WAZAZI WAKO WAKIACHANA KABLA YA KUGAWANA MALI WAKAKUBALIANA KUKUPA WEWE 30% NA WAO KUGAWANA 70 KILA MMOJA 35% KWA 35% WEWE UNAWEZA KUSEMA UMEMPIGA BABA YAKO MZAZI AU MAMA YAKE KUSEMA NIMEMPIGA MUME WANGU KWA MALI , KWA WEWE SI MTOTO WAKE AU???????
HAHAHA NADHANI WANIELEWA MKUU.
 
Mzee mengi si alikuwa chovyachovya
Na jacky mzee alichomekewa,mission ilitengenezwa wakutane,walijua lzm mzee ataingia kwenye 18 atamnasa
Na alimnasa....

Ova
Basi alaumiwe mzee simrembo jack
 
Mfalme Daudi alipokuwa Mzee sana alitafutiwa mrembo kati ya warembo wa binti Israel amtunze na kumtia joto Mfalme hadi mauti ilipomchukua Mfalme. Mabinti kuwatunza wazee ni jambo la toka enzi. K Lyn alimtunza Mzee wetu.
Sasa kwanini alaumiwe Jack? Si uliona na mzee Mrema alimpata wakumliwaza siku zake za mwisho. Ujue kuolewa na mzee ni ujasiri mkubwa sana,[emoji23]
 
Naona leo. Toka saa 6 mchana mmedondosha point kama zooooooooteeeeee yaaaani dah aseeeeeeeeee. Haya sasa laleni jamani kesho muamke mapema ili muendeleze huu mjadala

Ukiona meanamke mweupe kichwani niajangaaaaaa sanaaaa
 
Mkuu, una shout. Andika kwa normal letters. Samahani lakini
 
Jamani mbona ni rahisi tu divorce ya Reginald na Mercy ilikuwa ni talaka ya mume na mkewe haina uhusiano wowote kisheria na watoto wao,sio kwamba ukitalikiana na mkeo mali mtakazo gawana pia zinahusika na watoto,talaka ilikuwa ya watu wawili tu mume na mke na sivinginevyo
 
Ahsante kwa ufafanuzi na elimu pia ila nilichoandika kilikuwa "as according Jack Mengi" alivyohojiwa, it seems like baada ya kufariki mama yao hisa zake walipewa watoto wake na hata Jack hakuwa na shida na hizo, yeye amekomaa na zile za mumewe ila anatumia hizo hisa za marehemu kuonyesha wale watoto wa mke mkubwa wamepata nyingi na kuna element ya watoto wake wa kufikia kuwa na tamaa
 
Ww nae ushaitwa majina kibao ila upo tuu ni hivii suala la HISA ni tofauti na mambo ya urithi.
Hata sasa ivi hapo ukifanikiwa kuwa na co. yako ukaamua kuwapa HISA wanao hakuna atakae kuuliza.Ila suala la urithi litabaki kua pale pale hata kama ulitoa HISA zote maana kuna vitu kama nguo na vingine ambavyo haviko ndani ya co.vitagawiwa kulingana na mila na desturi zenu.
Ivi inaingia akilini kijana wa kichaga asirithi koti la mzee wake hata kama ni trilionea ?
 
Naombeni mwenye ujuzi na hili anisaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…