mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Naomba nikujibu wewe wa mwisho.
Mtego wa kuwapa watoto ulikuwa ni kitanzi kwa mengi bila yeye kujua.
Walipoamua kuachana.
Mercy mengi akawa mjanja na kuwaza atamzidi vipi mengi Mali katika kugawana?ndipo akaja na wazo kuwa wawape watoto 25 %wao wabaki na 75.na Kama unavyojua watoto uegemea kwa mama.
Mama akapiga hesabu yeye akichukua 37.5.na watoto wake wakichukua 25 atakuwa na 63%.
Bado hajamzidi mengi?
Kwa hyo mengi kapigwa bila kujua.
Na uenda alikuja kujua mwishoni ndo maana akaja kuandika wosia wa BUKU BUKU inakuwa tayari ameshachelewa.mali zinarudi upande wa mwanamke.
HAO NDO WANAWAKE WA KICHAGA AKILI KUBWA

MKUU KAMA WALIPEWA NA USHAHIDI UPO HIZO NI ZA KWAO TAYARI HAPO HAKUNA KIPINGAMIZI.
MFANO KAMA KAMA BABA NA MAMA WALIJENGA NYUMBA 3 NA WAKAPATA MTOTO 1, WALIPOACHANA WAZAZI WAKAGAWANA NYUMBA MOJA MOJA , NA YA MWISHO WAKAMPA MTOTO WAO 1.
LAKINI BABA AKAOA MWANAMKE MWINGINE NA KUCHUMA MALI FLANI. LAKINI
BABA AKAFALIKI ,
SASA UNATAKA KUNIAMBIA MKE WA PILI WA HUYO BABA ANAWEZA AKADAI NYUMBA YA HUYO MTOTO WALIOPEWA NA MAMA NA BABA YAKE BAADA YA KUACHANA?