Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huyu slay queen Kylin hana tofauti kabisa na yule Doreen wa Mrema! Wote wana tabia zinazo fanana!

Mbaya zaidi wote wameangukia kwa Wachaga, ambao kimsingi siyo watu wepesi kuwanyang'anya mali zao kwa wepesi tu.
 
Mume humrithi mke na kama ilivyo kwa mke kurithi kwa mume ndivyo sheria inavyoelekeza
 
Jifunze kwa yaliyompata dang mwenzio, acha ubishi.
 
Yupo yupo tu....

Ila huyu jacky kuna watu wamemshika akili....ashukuru hata hicho atakacho
Pewa sasa yeye anataka chote

Ova
Kuna uwezekano akapewa matumizi ya watoto tu
 
Kuna wanawake na majini, Ingawa mi ni mwanamke but I can't do that kwa visivyo halali yangu dada mbona mrembo tu angekomaa tu walau apate hata tumilioni milioni tu jamani na wale watoto.

Au ndo anataka awe first woman billionaire in Tanzania? Daaah

Umeongea kitu point kabisa!
 
Sawa.nielimishe sasa.familia ya mengi inamkwepa vipi jack.na ukimbuke kuwa jack kaolewa na ndoa ya kanisani na hawakuachana na watoto wamezaa na mengi.

Ndoa ya kanisani??? Tutajie kanisa gani hilo!
 

Hivi nyie mmekazana na ndia za akina Jacqueline, zitawasaidia nini? Za kwenu zipoje?
 
Reactions: Cyn
Saasa tatizo wale watot wa mengi wote hawajao Wala kuolewaa

Mm naona tu wanufaikaji Ni wale watot


Wale watoto wa Mengi wakubwa baadhi ya ndugu zao upande wa Mengi wanachangia na kuchochea wasioe na kuolewa Kwa sababu waendelee kuwachuma

ndugu upande wa The Late Mr Mengi hawana hela asilimia kubwa wamelelewa kusomeshwa na Mke Mkubwa wa Mr Mengi wakiongozwa na Roy. Wamemaliza shule wamekua watu wazima nendeni mkajitafutie kipato chenu mnataka kuendelea kuolewa ajira, kusaidiwa kama watoto walipiwe kodi , walishwe , wavalishwe na wakiumwa hata kichwa panadol inanunua hiyo familia ya watoto wakubwa. Huku mtaani mtu kama Roy anadai na yeye aliandikwa KWENYE mirathi na Mama yake ambae ni Mrs Mercy Mengi hivyo anafurahia kuona binamu zake wanachelewa kuoa na kuolewa hili waendelee kuwachuma na kuwatala wakifa warithi Mali Kwa mjomba hakuna urithi

Akiingia mke au mume hawatapata hiyo nafasi ya kupewa pewa msaada. Ndugu tunaowalea ni wa kua nao makini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…