Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muha atachezeaVita ya Mchaga na Muha, ngoja tuone mwisho wake.
Shetani akikushindwa utumia mbususuDah ama kweli , yali nenwa MWANAUME HATUWEZI SHINDA NGUVU YA MBUSUSU JAMANI ASEEEEEEEEE
Ngoja tuone.Muha atachezea
Mume humrithi mke na kama ilivyo kwa mke kurithi kwa mume ndivyo sheria inavyoelekezaMkuu mimi ninavyojua SHERIA ya ndoa ya Tanzania unaruhu mwanandoa kumiriki MALI binafsi bila kushirikiana cha msingi uwe na ushaidi tuu.
Kwa HIO hali kama mama alijenga nyumba kwa pesa yake mwenyewe na USHAHIDI uponkwamba mwanaume hakuchangia hata senti 1, basi hii nyumba na ya mama na watakao Ritchie ni WATOTO wa huyo mama, coz USHAHIDI si upo kua alijenga mama pekeake.
Labda mama afariki bila kuacha USHAHIDI wowote hule. Sawa.
Ila kama aliacha USHAHIDI kabisa kwamba nyumba ni ya mama pekeake watitsi hapo ni WATOTO, WAKE WATOTO wa mwanaume wa nje hawahusiki.
[emoji16][emoji16][emoji16]Panzi mbishi
Jifunze kwa yaliyompata dang mwenzio, acha ubishi.Sawa sikatai lakini mbona alifunguliwa miradi ameiua ,au anataka awe CEO wa IPP na associates wake?
Ameachiwa Mali binafsi kma ule mjumba wa Moshi na zingine Bado tu anataka nyonya damu watoto wa Marehemu hivi Hawa akina abdiel Sio washirikina eeehhh!!!angekutana ma wachawi wa Kanda za Ziwa huko wangemtanguliza mbona na yeye mavumbini
Yaani anakomaa na Mali azozikuta hata km mke halali ila Hana uhalali wa Mali za Mengi....!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Moderator huyu mtu hafai kuwa JFAlijua hatozaa kivipi? Kwani alikua anakufira wewe kwamba hutobeba mimba?
Wanamuhangaisha au ni yeye ndio anahangaika na vitu vilivyo nje ya uwezo wake
Kuna uwezekano akapewa matumizi ya watoto tuYupo yupo tu....
Ila huyu jacky kuna watu wamemshika akili....ashukuru hata hicho atakacho
Pewa sasa yeye anataka chote
Ova
Kuna wanawake na majini, Ingawa mi ni mwanamke but I can't do that kwa visivyo halali yangu dada mbona mrembo tu angekomaa tu walau apate hata tumilioni milioni tu jamani na wale watoto.
Au ndo anataka awe first woman billionaire in Tanzania? Daaah
Sawa.nielimishe sasa.familia ya mengi inamkwepa vipi jack.na ukimbuke kuwa jack kaolewa na ndoa ya kanisani na hawakuachana na watoto wamezaa na mengi.
Mke wa bilionea, marehemu Reginald Mengi ameendelea kukumbana na vigingi vya sheria baada ya mahakama ya rufaa kuondoa maombi yake ya kupinga uamuzi uliobatilisha wosia wa mwisho wa marehemu Reginald Mengi.
Mahakama imekubali hoja za upande wa watoto wakubwa wa marehemu na kubaini viapo vilivyoletwa na Jacquline Mengi na wakili wake vina makosa.
May mwaka huu Jaji Yose Mlyambina wa mahakama kuu aliukataa wosia unaodaiwa kuandikwa na Reginald Mengi kwa madai haukufata misingi ya kisheria.
Watoto wakubwa wa Reginald Mengi walipinga wosia huo wakisema baba yao hakuwa kwenye nafasi ya kuandika wosia kwasababu alikuwa anakabiliwa na matatizo makubwa ya kiafya tangu 2016.
Familia ya Dkt. Mengi ipo kwenye mgogoro mkubwa wa kisheria juu ya mirathi ya marehemu ambao ulianza punde baada ya kifo chake huku ndugu zake wakitaka kuteuliwa wasimamizi wa mirathi.
Hukumu iliyopita, jisomee=> HAPA
Saasa tatizo wale watot wa mengi wote hawajao Wala kuolewaa
Mm naona tu wanufaikaji Ni wale watot