Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Huyo Golddiger wa kufa na kuzikana.
Mtoto mmoja wa kigogo anamjua vizuri,alitaka kuoa baada ya shughuli zoote imebaki siku 1 harusi Jack katoroka na mzungu mmoja tapeli tu la madini kwenda South,
Katumika sana huko badae ndo karudi bongo kawa mwimbaji
 
Kinje huyo nadhani enzi hizooo...mjanja mjanja sana Jacky Toka enzi hizooo

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole yake daah ...wagawane tu pasu pasu na mke mwenziwe kulingana na idadi ya watoto yaishe..

Wasije kuleta uadui baina ya watoto wakaja kuuana bure
 
Nae,anashindwaje kulea watoto wawili kwa kuuza nyanyachungu kwenye sinia?!....ndo tamaa za pesa zinavyoponza....unakosa kula ujana na kijana mwenzio unakimbilia zee coz of money.....utumwa,utumwaaa
Tena familia inasomesha watoto ist haina shida ,shida ilianza alivohamia Dubai Sasa akataka wasomeshwe kule Tena shule za kishua zile ndo hapo wakagoma then child support karibu millions of shillings


Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Akili bro sio Kila mtu ana hyo akili,Hilo aliweza madam ritta wa BSS na yule Lilian,wengine wameshia magari TU
Jack Bado anataka uvip maana enzi mzee yupo alikua anahudumiwa kispecial mpk airport alikua anakaa vip lounge n.k Sasa hivi Kawa normal tu ndo maana anavurugwa mnoo!
So anajua akiwa billionaire atarudi tu kwenye Ile nafasi ya kibosi bosi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]kumbeeee

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Khaa *****
 
Ana tamaa tu ila na yeye atapata mbona tena pakubwa tu na watoto wake pia,yaani anachofanya ni kuumiza tu wanawe jamani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…