Jacqueline Mengi aendelea kudondokea pua rufaa, mahakama yaondoa maombi yake ya kutaka kuurudisha wosia

Jack yeye anapigania haki za watoto wake
 
Kwani huyo BINTI hana wazazi au hapo anapokaa hakuna watu wazima wakamuambia KAMWE uchi haujawahi kumpa mtu mali za kudumu.

Wamuambie Uchi unaweza kukupa raha za muda mfupi tu ila sio kukupa Umiliki wa mali milele daima.

Hata Mungu hawezi kuruhusu Uchi alioumba ukutajirishe kirahisi namna hiyo. Muambie jasho alilotoka wakati anakatika viuono halikawahi kuwa sawa na jasho la kutafuta mali na ajue haki ya watoto kwa Baba yao ni pamoja na mirathi pindi anapofariki.
 
Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Mkuu lakini hizo mali za mume wake wa ndoa na walibarikiwa kupata watoto kwaiyo kudai urithi ni vibaya yani yeye kupigania haki za watoto wake ni kosa?
 
Umeiona hiyo, hakuna anataka shida, kuna familia nyingine hata kama mwanaume kaoa hana kitu siku aondoke na kuacha mali napo mke atasumbuliwa sasa wanawake tufanye nini!
Jitahidini mkaolewe na Wazungu, Dada jack angekuwa kaolewa na Bill gate wala hasinge pata tabu na hasinge ijua Mahakama.
 

Umeongea kwa uchungu sana. Ila kwa kweli siku hizi hamnaga mapenzi tena, ni kuliana timing tu, atakayebaki anabaki na mali anakula bata.

Kwenye misiba wanawake hawalii tena kwa kufiwa na waume zao, wanavaa miwani meusi wanakauka kimyaa kama wanaangalia tamthilia, hakuna chozi wala nini. Ubinadamu kwishnei.
 
Mkuu lakini hizo mali za mume wake wa ndoa na walibarikiwa kupata watoto kwaiyo kudai urithi ni vibaya yani yeye kupigania haki za watoto wake ni kosa?
Hujaelewa mzee baba., ndugu sio kwamba hawataki kumpa share yake ila anachokipigania jack anataka yeye na wale mapacha wake wawili wachukue kila kitu yaani utajiri wote wa mengi wale watoto wakubwa wasipate chochote.. jiweke wewe kwenye nafasi ya watoto wakubwa wa mengi ungekubali?
 
Sasa kati yako wewe na Mahakama Kuu kisha Mahakama ya Rufani nani mwenye kujua kuitafsiri vizuri sheria? Unadhani hawakuangalia angle zote hadi wanatoa hukumu?

Bahati mbaya sana kwake safari yake ya kuisaka hiyo haki ndiyo imegota.
 
Kwani Wachaga wa Nini Cha ziada hadi Jack aogope kudai mirathi ya Watoto wake!!? Acheni kutisha watu eti hawajui Wachaga! Vita ni Vita hakuna Mambo ya Uchaga Mangi!!
Sasa si huyo keshashindwa.Au kuna mahari atakwenda tena kudai baada ya kushindwa Mahakama ya Rufani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…