Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Nani kakuambia kuwa Jacqueline ni mhaya?Jackline anatafuta kifo tu kugombea Mali ambazo hausiki nazo na amezikuta.
Muhaya hawezi kuwazidi akili wachaga, anajidanganya tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kakuambia kuwa Jacqueline ni mhaya?Jackline anatafuta kifo tu kugombea Mali ambazo hausiki nazo na amezikuta.
Muhaya hawezi kuwazidi akili wachaga, anajidanganya tu.
Jack yeye anapigania haki za watoto wakeSawa sikatai lakini mbona alifunguliwa miradi ameiua ,au anataka awe CEO wa IPP na associates wake?
Ameachiwa Mali binafsi kma ule mjumba wa Moshi na zingine Bado tu anataka nyonya damu watoto wa Marehemu hivi Hawa akina abdiel Sio washirikina eeehhh!!!angekutana ma wachawi wa Kanda za Ziwa huko wangemtanguliza mbona na yeye mavumbini
Yaani anakomaa na Mali azozikuta hata km mke halali ila Hana uhalali wa Mali za Mengi....!!!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mkuu lakini hizo mali za mume wake wa ndoa na walibarikiwa kupata watoto kwaiyo kudai urithi ni vibaya yani yeye kupigania haki za watoto wake ni kosa?Hata akiacha mali zigawanywe kwa usawa atapata share kubwa tu ukizingatia kamkuta mengi tayari ni tajiri.. anachozingua huyu dada anataka kupiga kila kitu kama vile wamehustle pamoja na mengi kutafuta izo mali
Jitahidini mkaolewe na Wazungu, Dada jack angekuwa kaolewa na Bill gate wala hasinge pata tabu na hasinge ijua Mahakama.Umeiona hiyo, hakuna anataka shida, kuna familia nyingine hata kama mwanaume kaoa hana kitu siku aondoke na kuacha mali napo mke atasumbuliwa sasa wanawake tufanye nini!
Danga limeangukia tena pua. Yaani Mali amezikuta anataka kufilisi familia,,? Haiwezekani kabisa. Amejenga uadui na hii familia kizembe Sana. Yaani mchagga ukishampeleka Mahakamani hamtakaa mkae meza Moja milele. Kwa Heri Gold Digger. Kwa Heri International Danga. Kaendelee tu kudanga maana ndicho unachofahamu. Na Ile kampuni Amorate Furniture uliua ukijua kuna pesa ya wosia fake. Swine mkubwa wewe. Ulitumalizia kipenzi cha watanzania. Yaani wale wamama,vijana na walemavu alikuwa anasaidia watakulaani wewe Danga Jack Ntubaliwe. Watanzania tuna hasira na hili Danga. Mzee Mengi amechangia Uchumi wa hii nchi halafu anaenda kufia ugenini kwa utata. Ndiyo maana hukudondosha hata chozi Moja. Yaani anaingizwa kaburini hata kope hukukunja Danga. Mnaomfamu mfikishieni hizi salamu.
Tz hujaona!Hii story ipo wapi tz au uganda
Mtutsi huyo aende akadange Rwanda huko...Naona Mama huyu anashindana na wachaga! Sijui kama anawajua wachaga vizuri!
Naujua msiba TU kuhusu Mali sijui walikua wanatoka Kibaha kwenye graduu wamepata ajali wotee wamekufa naskia mmoja Yuko ICUAise walikua wanagombea mali za marehemu?
Kwani wamenyimwaa?!!mbona wanaishi kistaafu wale watotoJack yeye anapigania haki za watoto wake
Hapo demu linawaza mali zote zileeee zinahamishika kuja kwake.Huyo anayewafungisha ndoa hapo ni Nani?View attachment 2434017
Hujaelewa mzee baba., ndugu sio kwamba hawataki kumpa share yake ila anachokipigania jack anataka yeye na wale mapacha wake wawili wachukue kila kitu yaani utajiri wote wa mengi wale watoto wakubwa wasipate chochote.. jiweke wewe kwenye nafasi ya watoto wakubwa wa mengi ungekubali?Mkuu lakini hizo mali za mume wake wa ndoa na walibarikiwa kupata watoto kwaiyo kudai urithi ni vibaya yani yeye kupigania haki za watoto wake ni kosa?
Kuingilia ndoa za watu,hukumu ni.hapa hapa duniani.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]kumbeeee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
TanzaniaHii story ipo wapi tz au uganda
Sahihi kabisaMsiba WA tajiri hudumu Kwa Muda mrefu, masikini akishazikwa na stori zinaisha baada ya wiki TU.
Sasa kati yako wewe na Mahakama Kuu kisha Mahakama ya Rufani nani mwenye kujua kuitafsiri vizuri sheria? Unadhani hawakuangalia angle zote hadi wanatoa hukumu?Kwa hyo unataka kusema licha ya jack kuolewa na mengi Hana haki ya kurithi?hamuoni Kama no dhuluma kwa mjane?mzee alishajichanganya waangalie kilicho chake wampe waachane kwa amani.na hao watoto ni lazma walelewe na mama yao kupitia fedha za baba yao.hauwezi kusema mpaka wakue ndo wapewe . Nani atawasomesha?
Ngara hatumtaki bwana, chimbueni historia yake. Japo ni kweli historia inataja baba yake alipata kuishi kijiji cha Mabawe wakitokea nchi jirani.Yule sio muhaya ni mtusi wa ngara au manyovu, hana uhaya wowote,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Alizingua pale aliposema atakayepinga wosia apewe buku nadhani hapo ndo walifanya kosa la kiufundi.
Sasa si huyo keshashindwa.Au kuna mahari atakwenda tena kudai baada ya kushindwa Mahakama ya Rufani?Kwani Wachaga wa Nini Cha ziada hadi Jack aogope kudai mirathi ya Watoto wake!!? Acheni kutisha watu eti hawajui Wachaga! Vita ni Vita hakuna Mambo ya Uchaga Mangi!!