Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Huyo mdangaji atafute zake, hao watoto alitegemea waachie tu mali za baba yao ziende kizembe?! Hajitambui
 
Mzeee Mpili kauli kama hizi yeye huziita takataka.Mke mdogo kamkuta baba na Mali zake halafu uje uzichukue kirahisirahisi tuuu.Walahi tunakuuua huku unajiona.Jackline atulie tuuu alifikiri mdoni atamwachia Mali zote zile
 
Kuna watu hawana aibu, Jack hujui mengi kafanya kazi na wanae tokea wakiwa wadogo, wewe umekuja juzi unataka mali
 
Nyie subirini tuu mende iangushe kabati, huyo mzee naye alikuwa mweu tuu, acha shomire awashugulikie, hiyo inaitwa gusa unatee!
 
Kuna watu hawana aibu, Jack hujui mengi kafanya kazi na wanae tokea wakiwa wadogo, wewe umekuja juzi unataka mali
Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!
 
Mzee alikulla papuchi ya mutoto wa mujini adi akamu haribia usichana wake, acha ailipie gharama kubwa sasa….!
Tatizo ni kuwa hizi vita vya mtu against Jamii fulani ya watu huwa haishii mahakamani tu endapo mtu atashinda, haswa pale anapokuwa hana haki ila sheria ikampa haki.

Mfano upo kijiji fulani umeua kikongwe kwa siri, Jamii kwa njia zao ikajua ni wewe, ukapelekwa mahakamani, ushahidi ukakosekana, ukaachiwa. Hapa mara nyingi jamii hushitaki kwenye maakama zao ambazo ukiitwa unaweza mkuta marehemu ndiye jaji.

Kuna mila na desturi ambazo zikianza kufuatwa unaweza sikia hadithi za ajabu ajabuuuu.

Haya mambo unaweza usiyaamini ila yapo.
 
Wameongea mengi lkn sijawahi kusikia mtu akisema Jaqueling kambambikia Mengi wale mapacha.
Sasa Kama Ni watoto halali kwanini wasipewe Mali ya baba yao?


Unaelewa Hii case ? Umeskia hawapewi ?mama yao kyln anataka mali zote za marehemu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…