Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Jacqueline Mengi apeta mahakama ya Rufani, mahakama yakubali kumsikiliza kinyume na mapingamizi ya watoto wakubwa

Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.

Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie mbali maombi yake bila kuyasikiliza.

Anyways, ngozi nyeusi inabidi tufanyie kazi Succession plan.. Si kwa mafukara wala matajiri, nadra misiba kuisha bila habari. Huko Arusha mali

Jack jambazi sana mwanamke huyu, yaani bila hata aibu wala staha anawaweka watoto mbele ili apate huruma ya mahakama apate mali kwa wosia ulio feki.. Huyu jambazi sana huyu, huu ni uhuni mbaya sana. Eti wosia kajiandikia kila kitu yeye na wanae hadi mali ambazo sio za Marehemu Mengi, yaani saini feki, alafu hakuna hata shuhuda aliyeona wosia huo ukiandikwa, yaani huyu dada mhuni sana, tamaa itammaliza kabisa, watoto watasomeshwa tu na kukua, ila huyu dada hapana aiseee. Hatari sana huyu. Kwa uhuni huu unafoji hadi wosia, usikute kamdedisha mzee wa watu, huyu dada nikimuona tu namuona jambazi aisee.
 
Kwani huyu mwanamama si ana mali zake tu, mbona kuhangaika na mali za Mengi wakati alimkuta nazo. Na huyu mengi umri wote ule hakua ameandika wosia mpaka dakika za mwisho?

Wosia original upo aliandika
 
Mahakama ya Rufani leo October 13, 2021 imetupilia mbali mapingamizi ya mtoto mkubwa wa Reginald Mengi dhidi ya maombi ya mapitio ya kesi kutoka kwa Jacqueline Ntuyabaliwe.

Awali Abdiel mengi na Benjamin Mengi walimuwekea pingamizi la awali la kisheria Jacqueline wakiiomba mahakama iyatupilie mbali maombi yake
Huyo dada kushoto kwa watoto ni nani ana mguu mtam sana wa kunyonya
 
Hii case Ina public Interest tunataka kuona nguvu ya mama na Sukuma gang

Hii case imekuja kama series hivi full kuifatilia na kutupa raha
 
Huyu dada ni Jambazi kama majambaz mengine,anataka mali zisizo halali kwake?!looh,udangaji huu jaman unatisha,
Ningekuwa mimi ni Jaji wale watoto wangetunzwa na IPP kwa uangalizi wa mama yao, ila yeye angepata mgawo wake na awe free maana anaweza kuolewa tu...si bado kijana.

Mali za watu za nini wewe dada, kigoma kwetu unageuzwa fisi..tamaa. mbaya.
 
Wato

Watoto walikua IST international school of Tanganyika kawatoa kyln kaenda kudanga nao , company ilikua inalipa

F771A672-F643-45AB-B132-F723F5A90764.jpeg
 
Back
Top Bottom