Jacqueline Mengi: Maneno ya kashfa na kumchafua mume wangu yamesemwa mahakamani, sikubali usuluhishi hadi yakafutwe

Unamaanisha aache pesa aende zake?

Mie nilikua narejea tu maandiko wakati wanafunga ndoa wanasema watakua mume na mke hadi kifo kiwatenganishe. Sasa ikiwa mtu ameshafariki hizi malumbano na familia zinatoka wapi? Mara akaone kaburi sijui aweke maua, ndugu wa marehem will take it from there, ikiwa hawamtaki asilazimishe.
 

Mkuu hakuna kesi kama Jacq alimfuata Mengi kimaslahi na Mengi mwenyewe akakubali. Lilikua jukumu la Mengi mwenyewe kuamua kutumika au lah sio mdogo wake tena baada ya Mengi kufariki.

Kama Jack hakumuua Mengi, which I believe she didn't, na kama Mengi aliandika mirathi kwa jina la Jacq na watoto wao basi ni kituko kwa Bennie kwenda kudai mali na hii keshi atashindwa kabla ya jua la asubuhi.

Watu wameachia urithi watu baki kabisa, wengine wameachia mbwa na paka zao habari gani kwa mama watoto wako. Kama Jacq anataka zaidi ya alichaondikiwa hiyo ndo kesi ila yeye kuwa na Mengi kimaslahi na kudai alichoandikiwa ana haki kabisa.
 
Sijasikiliza intavyuu, ila kama maneno yaliyoandikwa hapo ndivyo intavyuu ilivyokwenda, basi dada anajitambua.

Hatuwezi kumuhukumu kwa maisha aliyoyaishi miaka ya nyuma, watu wanabadilika.

Na isitoshe mali zimerithishwa kwa watoto na sio kwake, na wasimamizi wametajwa. Kama wale watoto wakubwa wamepata 75% kwa nini inakuwa kelele kwa wadogo kupata 25’%
 
Jack hana washauri? Hajui kuwa hiyo mali wakina Regina wameweka nguvu zao mpaka yeye kuvutiwa nayo?
Hiyo ya kusema walishachukua ya mama yao haina nguvu na ni kutaka kushindana nao tu.
Ni ujinga kuwa na bilionea ushindwe kuwa na kikampuni hata cha kuuza karanga za 50 Tanzania nzima ukawa unasambaza.


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Karibu Mkuu. Napokea tuzo hii kwa heshima na taadhima.
 
Kama nitakosea mtanisamehe.
"MZEE MENGI ALIKOSEA KUMUOA HUYO MWANAMKE MBAYA ZAIDI AKATEGESHEWA NA MIMBA"
Alafu copy ikatoka ile ile ya mzee mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mengi alikuwa na craving ya watoto. Imagine unazaa wanao watatu, mmoja anafariki, waliobaki wanafika 40s hata mjukuu hawakupi. Lazima uzae vitoto vingine vya kukufariji kwenye old age.
 
pachanya,

Hawezi kuwatoa maana wana hisa zao binafsi, wana walizoachiwa na mama yao. Atawatoaje?
 
Regina ni mkubwa kwa K-lyn kabis

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…