Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,120
Kwani uongo?Nime skiliza huyo dada anavyo ongea yeye mwenyewe roho ina msuta anavyo waita eti watoto wetu wengine yaani regina na kaka yake wakati kiumri yawezekana hata regina kamzidi Jacqueline ama kweli kitanda kime mpa heshima Jack ya kuwaita Regina na kaka yake watoto zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachopingwa mahakamani ni huo wosia wote kwa ujumla wake hivyo wakishinda kesi maana yake kila kilichoelekezwa kwenye wosia kinatupiliwa mbali na mahakama itagawa upya kadri itakavyoona inafaa katika kuhakikisha haki inatendeka kwa warithi wote
Vipi nyinyi kwenye UKOO na familia yenu ndugu wanazamishana dudu ?Hao ndugu zake Mengi walishawahi kuzamisha dudu ya Mengi kwenye miili yao ili tuwafananishe na kujua nani ana uchungu wa kweli?
Hata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!
Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
Jack hana washauri? Hajui kuwa hiyo mali wakina Regina wameweka nguvu zao mpaka yeye kuvutiwa nayo?
Hiyo ya kusema walishachukua ya mama yao haina nguvu na ni kutaka kushindana nao tu.
Ni ujinga kuwa na bilionea ushindwe kuwa na kikampuni hata cha kuuza karanga za 50 Tanzania nzima ukawa unasambaza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilaza Huyo Hana akili mzee alimfungulia amorete company mpaka Sasa inaishia kufa ... Alinunuliwa hisa huko Dubai ... Kwa kifupi Huyo manzi Ni kichwa panzi Hana akili, ni darasa la saba asiejielewaHata Mahakama ikigawa mali upya huyu jackie na wanawe wanaishia kuwa ma bilionea. Na believe it or not palipo uhai, by the time mapacha wake wanafika umri sawa na watoto wakubwa wa mengi huyu jackie atakuwa amejenga business empire kubwa kuliko mali yote aliyoiacha mengi!!!
Huyu dem ni strategist na ana akili ya biashara kuliko wale watoto wakubwa wa mengi. Kwa kifupi zikiibuka business empire mbili tofauti, ya huyu itakuwa zaidi kuliko ya familia ya mke wa kwanza!!!
Alipaswa kuji engage kwenye private business mapema, ame declare alikuwa anamlea mzee. Mapemaaaa wangeweza kujenga public awareness jack kucontrorl biashara zake binafsi. Aidha ziwe za watoto tu. Kwa sasa amechelewa, ataishi maisha magumu sana. Hata zari amemshinda.Yaani Jack ana strategic plan kuhusu biashara? Unaota mkuu.Jack hatawesa kuwa bilionea..kwasabbu deep inside anajua sio mkweli..hkunaga..hela inataka usafi wa rohomkuu...huyo ataishia level hizo hizo...kwa ubilionea nakataa! Hana akili hizo..umekaa na mume 9yrs unakuja kufanya biashara za furniture?? Khaa
raha sana the late Mengi alisema kama sio jack angekua ameshafariki leo jack nae anasema kama sio Mengi angekua amefariki hahaaa sarakasi hizi
I second u...jack amestuka kumekuchwa..huyualipaswa kuwa na kampuni.kubwa..mitenda yote serikalini anaipata...yaani deal za ujenz zote angekuwa anafanya yy mbona hata huo urithi asingehangaika nao!!..kwenye miti...
Alipaswa kuji engage kwenye private business mapema, ame declare alikuwa anamlea mzee. Mapemaaaa wangeweza kujenga public awareness jack kucontrorl biashara zake binafsi. Aidha ziwe za watoto tu. Kwa sasa amechelewa, ataishi maisha magumu sana. Hata zari amemshinda.
Kwani mke wa kwanza wa marehemu by the time ana umri wa k-lyin aliazisha biashara gani ya kwake binafsi yeye kama mke? We huoni fenicha nzuri zile? Na hao watoto wa mwanzo wamewahi kuanzisha biashara gani binafsi tuone ubunifu wao? Kwa hiyo hata kama hiyo ya fenicha haijasimana ni sehemu ya biashara, si lazima unapoanzisha isimame ila mtu uoneshe ubunifu!!! Mengi mwenyewe alipitia kuanzisha na kufunga biashara tofauti tofauti!!!Kilaza Huyo Hana akili mzee alimfungulia amorete company mpaka Sasa inaishia kufa ... Alinunuliwa hisa huko Dubai ... Kwa kifupi Huyo manzi Ni kichwa panzi Hana akili, ni darasa la saba asiejielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Fwedha..... Fwedha.... FedhehaHuyu Dada angenyamaza Tu Kimya.. Asubiri Mahakama itaamua nini..
Hawezi kuniaminisha ana Upendo kwa Mengi kuliko Ndugu zake
Anazidi kujichanganya na kutaka Huruma ya Jamii.
Sent using Jamii Forums mobile app