Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

Inaweza kuwa iliombwa mara mbili 2016 na
Inaweza kuwa ripoti ya kwanza iliombwa/kuchukuliwa 2016 na ya pili 2019 na mtoaji kuamua kutobadili ama andika entirely report mpya bali kupiga hiyo nyongeza
 
Usishangae Elimu yake tu, shangaa hata washauri wake. Hiyo Barua imeandikwa 2016 ila inaelezea habari za 2019

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo dada aache utapeli. Atadhalilika bure.
Hata mjinga tuu anajua kwamba alishinikiza maamuzi ya wosia. Yule mzee tulimuona pale mwishoni mwishoni hali yake ilikuwa mbovu kabisa imejaa kutetemeka tetemeka hivi.
 
Kabisa kabisa mkuu kisheria huyu mdada kakosea vingi sana.
Sijui kwasababu ya tamaa ama nini kilimsukuma kukubali wosia wa namna hiyo(nadhani alishiriki kuuandaa), kama alitaka mali angejigawia kiasi na nyingine awaachie ndugu wengine.

Hao watoto wake aliowaweka kama kinga hawana cha kusaidia walau hata wangekua wakubwa wangetetea kidogo kama hao wa mke mwenzie.

Angaufanyia marekebisho kidogo tu saivi angekua anapeta tu. Pesa alikua nayo kweli alishindwa hata kuahirikisha wanasheria makini kwenye kuuandaa huo wosia, wizi wa kipuuzi sana aisee tamaa mbele haya ndo matokeo yake.
 
Mimi niulize swali tu... huyu malaya hajui kwamba kichaa kina msimu ama? Hajui hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli?
Hajui kuna mwezi mchanga ama? Alijua ili uwe kichaa lazima iwe full time job ama?[emoji23][emoji23][emoji23] ama alijua ukichaa ni full time job kama ilivyo career yake ya mbususu?

Jamani apewe spana kila kona huyu asiachiwee[emoji23][emoji23] nna uchungu mimi maana sijui kesho yangu. Ila tumpe dozi... ama tuzike hapahapa ama tusafirishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…