Mambo yamegoma, kaambiwa kwa mila za kichaga anatakiwa aende kaburini akatambike, wazee wameliona hilo.Wajane wengi hulalamika kudhulumiwa mirathi, ajabu dada analilia kutembelea kaburi
Sijui hata imekuwaje tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nadhani mwenye njaa ni yeye aliyekimbilia kuolewa na Babu yake ili akifa aanze vurugu za kudai Mali aliyoikutaMbona hawakumzuia kufunga naye ndoa, kuishi naye na kuzaa naye?
Aliyeoa ni Mengi au hao ndugu? Njaa na tamaa zinatumaliza waAfrika, tunaomba mtu afe ili tugawane mali.
Karma,
Alichowakosea kinajulikana kwenye ule wosia.
Hapo ndo kwanza watoto wakubwa wameanzisha muziki intro, ikifika muda wa sebene si atajamba huyu bosslady.
Ukitaka kujua kama unapendwa na ndugu wa mme subiri akifa ndo utajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakumnajisi wakati wanaishi wote?Familia ya mzee Mengi wako sahihi,kumzuia Malaya kwenda kunajisi kaburi la marehem baba yao.
Nasema hivi, wachaga watamnyoosha huyu, sbb hana adabu yeye anajua kaenda kuchuma fedha kwa mzee late Mengi, angetulia walau apate huruma ya familia ya Mengi, yeye bado analeta kiburi, ujuaji, dharau alafu anajiona ndio mwenye haki yote ya Mengi, of which yeye alienda short time tu kudanga, hapo lazima atanyooshwa, nilijua kwa uhakika atapata tabu sana, sbb issue kama yake hata mahakama haiwezi kupata suluhu. Opportunists watu wabaya sana.
Atubu kwa kuwatapeli watoto wengine wa Mengi mali za baba yao.
Kesi ya nyani anaipeleka Kwa tumbili kama hajaambiwa atulie bado wanauchungu na Mzee wao baadaeee watapoaWanakuzuia kuona kaburi la baba'ako na babu wa wanao?!!!
Hatari sana muone mbunge Mbowe maana hilo ni jimbo lake!
Mimi nakupiga ww na mama yako...Sasa kama anapigwa kuna kosa gani hapo? Si ni haki yake ya msingi kupigwa? Wewe upigwi?
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hizi ndio rahà na karaha za utajiri, huku kwingine tukifa wala hamna anayeuliza, sana sana watagawana nguo na vinavyobaki mjane ataambiwa ni vyake.