Too low bro kama ni bro
delete tuu hii haina maana BAK hapa jukwaani ana heshima yake
Too low bro kama ni bro
delete tuu hii haina maana BAK hapa jukwaani ana heshima yake
Huyu RAPTOR 22 lazima atakuwa ndio wale wa bk7; hawa wana laana ya fisi siku hizi ni wa kuwapuuza tu!!
Huyu RAPTOR 22 lazima atakuwa ndio wale wa bk7; hawa wana laana ya fisi siku hizi ni wa kuwapuuza tu!!
Sio hivyo ila kuna majibu ambayo hata wewe ukiyatoa unajiuliza mara mbili mbili hivi mimi ndo nimesema hayalingani na heshima yako wala status yako kwenye jamii na ndo maana nimesema too low kwako kutoa comment kama hiyo na wala sio kwa sababu ya heshima ya BAKAtajijua ye mwenyewe, hatuko kuangalia watu humu, kila mtu ana haki kama hataki atengeze JF yake peke yake.
Mkuu hata Ndinani hata mimi naona aise maana majibu yake na msimamo wake hata baada ya kueleweshwa bado uko pale pale
Sio hivyo ila kuna majibu ambayo hata wewe ukiyatoa unajiuliza mara mbili mbili hivi mimi ndo nimesema hayalingani na heshima yako wala status yako kwenye jamii na ndo maana nimesema too low kwako kutoa comment kama hiyo na wala sio kwa sababu ya heshima ya BAK
BAK na Ndinani wanapoteza mda wao kunidiscuss basi hapo ujue WANANIKUBALI hahahaha, wao ndo wametaka chai kwanini walalamike wanaungua?? ukinijibu kwa nukta na mi nakupa nukta pacha mbili!! ukinijibu vizur na mi nakujibu vema zaidi.
​Ahsante sana Mkuu :yo: :yo: :yo:
Ok ok bro mjadala umefungwa sitakujibu tena
Asante
:welcome:
Nakushukuru ndugu kwa kumshaur huyu mtu. Tunaomba hoja yako kuhusu mjadala baada ya ushauri wako mzuri. Karibu sana. Samahani kama nimegusa nerves zakoKwani hapa wewe umeandika nini mbona sijakuelewa ulichokiandika
Sijajadili mada ila ni katika kumpa ushauri aliyequote habari nzima na kuandika mistari miwili
Sasa wewe sijui umekurupuka kusema nini hapa na niliyemwambia ameelewa sasa sijui wewe hili uliloliandika unamsaidia au unaendeleza mchuano
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.
Nakushukuru ndugu kwa kumshaur huyu mtu. Tunaomba hoja yako kuhusu mjadala baada ya ushauri wako mzuri. Karibu sana. Samaani kama nimegusa nerves zako
Kama kinaenda kadri ilivyopangwa uzinduzi wa kampeini za kuipigia chapuo au kuikataa katiba ulikua lini? Na ulifanyikia wapi? Unajua salikari hii inaendeshwa kitahira tahira tu.
We nsubhi hayo maneno ni yako au umeazima. Hujui na wewe ni sehemu ya serikali. Kama uliyoyasema umeyafikiri basi na wewe ni tahira. Jilinde sana na maneno yako ya kijiweni yasije yakakutoa kwenyee forum na ukaishia kulalamika. Heshima na hoja ni vitu vya muhimu kuliko kuropoa kama ulivofanya. Kwanza umeibukia wapi kama msukule wa gwaj. Chunga ulimi wako usikutawale. Ningekuwa bungeni ningekwambia futa kauli yako ya kilevi. Be careful with your government. Unasikia kijana au kibabu whatever and whover you are!Kama kinaenda kadri ilivyopangwa uzinduzi wa kampeini za kuipigia chapuo au kuikataa katiba ulikua lini? Na ulifanyikia wapi? Unajua salikari hii inaendeshwa kitahira tahira tu.
Soma vizuri uelewe nitanza kuwa na mashaka na uelewa wako. (Wananchi + Viongonzi= Selikari). Wanaoongoza selikari ni wananchi?
We nsubhi hayo maneno ni yako au umeazima. Hujui na wewe ni sehemu ya serikali. Kama uliyoyasema umeyafikiri basi na wewe ni tahira. Jilinde sana na maneno yako ya kijiweni yasije yakakutoa kwenyee forum na ukaishia kulalamika. Heshima na hoja ni vitu vya muhimu kuliko kuropoa kama ulivofanya. Kwanza umeibukia wapi kama msukule wa gwaj. Chunga ulimi wako usikutawale. Ningekuwa bungeni ningekwambia futa kauli yako ya kilevi. Be careful with your government. Unasikia kijana au kibabu whatever and whover you are!