Jaji Bomani apigilia msumari Katiba Mpya

Huyu RAPTOR 22 lazima atakuwa ndio wale wa bk7; hawa wana laana ya fisi siku hizi ni wa kuwapuuza tu!!

Mkuu hata Ndinani hata mimi naona aise maana majibu yake na msimamo wake hata baada ya kueleweshwa bado uko pale pale

Atajijua ye mwenyewe, hatuko kuangalia watu humu, kila mtu ana haki kama hataki atengeze JF yake peke yake.
Sio hivyo ila kuna majibu ambayo hata wewe ukiyatoa unajiuliza mara mbili mbili hivi mimi ndo nimesema hayalingani na heshima yako wala status yako kwenye jamii na ndo maana nimesema too low kwako kutoa comment kama hiyo na wala sio kwa sababu ya heshima ya BAK
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Poole kumbe ww ukweli huwa unakuuma???? jb umelipata sasa
 
Mkuu hata Ndinani hata mimi naona aise maana majibu yake na msimamo wake hata baada ya kueleweshwa bado uko pale pale

Sio hivyo ila kuna majibu ambayo hata wewe ukiyatoa unajiuliza mara mbili mbili hivi mimi ndo nimesema hayalingani na heshima yako wala status yako kwenye jamii na ndo maana nimesema too low kwako kutoa comment kama hiyo na wala sio kwa sababu ya heshima ya BAK

BAK na Ndinani wanapoteza mda wao kunidiscuss basi hapo ujue WANANIKUBALI hahahaha, wao ndo wametaka chai kwanini walalamike wanaungua?? ukinijibu kwa nukta na mi nakupa nukta pacha mbili!! ukinijibu vizur na mi nakujibu vema zaidi.
 
​Ahsante sana Mkuu :yo: :yo: :yo:

Mkuu BAK comment kama hiyo sio ya kutoa haswa humu kwenye jukwa tunapozungumzia masuala ya katiba
na anaonyesha namna alivyo anapotoa comments kama hiyo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
BAK na Ndinani wanapoteza mda wao kunidiscuss basi hapo ujue WANANIKUBALI hahahaha, wao ndo wametaka chai kwanini walalamike wanaungua?? ukinijibu kwa nukta na mi nakupa nukta pacha mbili!! ukinijibu vizur na mi nakujibu vema zaidi.

Ok ok bro mjadala umefungwa sitakujibu tena
Asante
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwani hapa wewe umeandika nini mbona sijakuelewa ulichokiandika
Sijajadili mada ila ni katika kumpa ushauri aliyequote habari nzima na kuandika mistari miwili
Sasa wewe sijui umekurupuka kusema nini hapa na niliyemwambia ameelewa sasa sijui wewe hili uliloliandika unamsaidia au unaendeleza mchuano
Nakushukuru ndugu kwa kumshaur huyu mtu. Tunaomba hoja yako kuhusu mjadala baada ya ushauri wako mzuri. Karibu sana. Samahani kama nimegusa nerves zako
 
Tusubiri NEC waamue mbona mnataka kujipa madaraka ya NEC? msilete hoja za ajabu zenye kuleta malumbano yasiyo na maana humu ndani, kila kitu kitaenda kadri kilivyopangwa jamani musiwe vihelehele kuwasemea wahusika.

Kama kinaenda kadri ilivyopangwa uzinduzi wa kampeini za kuipigia chapuo au kuikataa katiba ulikua lini? Na ulifanyikia wapi? Unajua salikari hii inaendeshwa kitahira tahira tu.
 
Nakushukuru ndugu kwa kumshaur huyu mtu. Tunaomba hoja yako kuhusu mjadala baada ya ushauri wako mzuri. Karibu sana. Samaani kama nimegusa nerves zako

Mjadala ushafungwa juu ya quote
Nadhani ushaona taarifa za NEC kuwa kura ya maoni haitakuwepo na aliosema Bomani hapa unaendana na kile ambacho Tume wamekuja kukiamua na hilo lilionekana toka mwanzoni kuwa tume haitaweza kuendesha hiyo kura ya maoni kwa muda uliopangwa kutokana na kasoro nyingi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama kinaenda kadri ilivyopangwa uzinduzi wa kampeini za kuipigia chapuo au kuikataa katiba ulikua lini? Na ulifanyikia wapi? Unajua salikari hii inaendeshwa kitahira tahira tu.

Sasa wewe mbona unajitukana wewe mwenyewe? kwani Serikali ni nani? si wananchi ukiwemo na wewe? fikiri kabla ya kutenda, usikimbilie matuc matuc mengine utadhani uantakuna watu kumbe unajitukana we mwenyewe. ushauri tu huo.
 
Kama kinaenda kadri ilivyopangwa uzinduzi wa kampeini za kuipigia chapuo au kuikataa katiba ulikua lini? Na ulifanyikia wapi? Unajua salikari hii inaendeshwa kitahira tahira tu.
We nsubhi hayo maneno ni yako au umeazima. Hujui na wewe ni sehemu ya serikali. Kama uliyoyasema umeyafikiri basi na wewe ni tahira. Jilinde sana na maneno yako ya kijiweni yasije yakakutoa kwenyee forum na ukaishia kulalamika. Heshima na hoja ni vitu vya muhimu kuliko kuropoa kama ulivofanya. Kwanza umeibukia wapi kama msukule wa gwaj. Chunga ulimi wako usikutawale. Ningekuwa bungeni ningekwambia futa kauli yako ya kilevi. Be careful with your government. Unasikia kijana au kibabu whatever and whover you are!
 
Soma vizuri uelewe nitanza kuwa na mashaka na uelewa wako. (Wananchi + Viongonzi= Selikari). Wanaoongoza selikari ni wananchi?
 
We nadhani umeishia Chekechea hivyo siwezi kubishana na wewe, maana hujui ukisemacho omba msaada uelimishwe kama hujui. Kumbe majibu unayo kuwa Wananchi plus Viongozi unapata Serikali afu unajifanya hujui.
 
We nsubhi hayo maneno ni yako au umeazima. Hujui na wewe ni sehemu ya serikali. Kama uliyoyasema umeyafikiri basi na wewe ni tahira. Jilinde sana na maneno yako ya kijiweni yasije yakakutoa kwenyee forum na ukaishia kulalamika. Heshima na hoja ni vitu vya muhimu kuliko kuropoa kama ulivofanya. Kwanza umeibukia wapi kama msukule wa gwaj. Chunga ulimi wako usikutawale. Ningekuwa bungeni ningekwambia futa kauli yako ya kilevi. Be careful with your government. Unasikia kijana au kibabu whatever and whover you are!

Haaa haaa haaaa,Uwiiiiiiiii. Massage sent.
 
Back
Top Bottom