PostGE2025 Jaji Chande: Matukio ya Oktoba 29 yalipangwa na kufadhiliwa na watu waliopata mafunzo

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Umeweka vema kabisa, hatuna vyombo vilijigeuza kuwa Branch ya CCM
 
Chadema waliona mbali sana hao jamaa huwa wako mbele ya muda kila wakati.
 
Na kuna moja amesema nyumba iliyotumika kuhifadhi "wafanya ghasia" ilikuwa karibu kabisa na kituo cha polisi .
 
Vile vitoto vichanga na vikongwe navyo vilipata mafunzo na kukabidhiwa silaha? 😥
 
Chande ni tahira,awataje waliopanga virugu waaibike
 
Kwani vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama vilikuwa wapi...!?
Ambapo walio ratibu vurungu kama mnavyodai basi mkubali waliwazidi kete, "Mjitafakari ....!!
 
Hakuna kitu huzuka kama hewa hata mvua ni matokeo ya mipango ya mawimbi.Hoja sio kuratibiwa sababu iliyotufikisha hapo ndio inapaswa kutafutwa.Jambo lolote liwe bays au zuri huwa na mipangilio maalumu.Hata mataifa ya nje huwa yanaingia sehemu yenye matobo matobo.Kwani kulikuwa na slogan za "Samia must go"- No election no reform" ni sababu ya haya yote?.Kwenye mambo ya utekaji tume imepepesa macho.
 
Waratibu walitumia mbinu mbalimbali ikiwemo kuwatumia watu wasio na ufahamu wa kina na vijana waliokata tamaa katika jamii.

Walifanya hivyo huku wakihakikisha vitendo vya ghasia vinafanyika kwa wakati mmoja katika maeneo tofauti ili kuwachanganya na kuwatawanya polisi.

Mkakati huu ulikuwa wa kina na uliolenga kuleta machafuko makubwa. Tume imethibitisha kuwa hii ilikuwa sehemu ya mpango mkubwa wa kuleta ghasia.

#RipotiYaTumeImefichua
#TumeYaUchunguziReport

Wafanya Vurugu Walilipwa
 
Tume ya Uchunguzi iligundua kuwa ghasia za Oktoba 29, 2025 hazikuwa za ghafla bali zilikuwa na mpango mkubwa wa kuratibiwa. Ushahidi ulionyesha zaidi ya mbinu 16 zilitumika katika maeneo 202 katika mikoa 14 na wilaya 43. Walitumia mkakati wa dispersal violence ili kuwachosha polisi na kufanya majibu ya usalama kuchelewa. Vijana walikuwa wakifundishwa kwa siku zaidi ya 28 katika kambi za siri. #TumeYaChande
#TumeYaUchunguziReport
Haki Bila Upendeleo
 
Sawa
 
 
Ungetaja hizo sehemu za mafunzo na majina ya wakufunzi bila kusahau orodha ya wapokea mafunzo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…