Village in
JF-Expert Member
- Mar 1, 2026
- 311
- 626
Kukubaliana nao wanajua kabisa hawawezi kutupanga. Hapo ni kutubaka tu,tukubali,tusikubali,wanapita na sisi. Wanajua WaTz bado sn kufikia kuwa WakenyaNdiyo ameanza kuisoma hiyo ripoti au bado yuko anaweweseka hajui pa kuanzia! Au ndiyo wanaendelea kutupanga ili tukubaliane mapema na upotoshi wao?
We mzee ulitakiwa 29OCT ungekuwa front kama ulivyokuwa magomeni mwembechai.Kwa sisi tuliojitokeza kuipa ushirikiano tume hiyo hatuna budi kujipongeza kama na mimi nisinge jitokeza, idadi ingekuwa ni watu 63,602, kutokana na mimi kujitokeza idadi imekuwa 63,603, huyo wa 63,603 ni mimi!.
Nipongezeni jameni.
P
Watupe ripoti yetu.. waiting is overMwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.
Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano ya ana kwa ana yaliyohusisha watu 1,323, mashahidi wa viapo (affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila kutaja majina ya wahusika watu 4,891, pamoja na mikutano ya makundi 202.
Aidha, Jaji Chande amesema idadi kubwa ya ushahidi imepokelewa kupitia njia ya simu na ujumbe mfupi, ambapo watu 56,445 waliwasilisha taarifa zao kwa njia hiyo.
Soma:
Mother is implicated, also a son. Sasa wanarekebisha ripoti.Watupe ripoti yetu.. waiting is over
Hii ripoti itatupa mwanga.. October 29 ilikua ni janga natumaini nione swala la KMKM huko .Mother is implicated, also a son. Sasa wanarekebisha ripoti.
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa matukio ya uvunjifu wa amani yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mohamed Chande Othman, amesema Tume hiyo imepokea ushahidi kutoka kwa Watanzania 63,603 kwa njia mbalimbali.
Amesema ushahidi huo umepatikana kupitia mahojiano ya ana kwa ana yaliyohusisha watu 1,323, mashahidi wa viapo (affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila kutaja majina ya wahusika watu 4,891, pamoja na mikutano ya makundi 202.
Aidha, Jaji Chande amesema idadi kubwa ya ushahidi imepokelewa kupitia njia ya simu na ujumbe mfupi, ambapo watu 56,445 waliwasilisha taarifa zao kwa njia hiyo.
Soma:
Kama kujisema mimi ni mmoja wa hao waliojitokeza na kuipa ushirikiano tume ni utoto, then its ok, huu ni utoto, kwa vile kuna wengi walioitwa hawakujitokeza, na kuna wengi wameathirika, wamejinyamazia, sisi tuliojitokeza, tunastahili kupewa pongezi kwa kujitokeza.Sometimes unakuwa kama mtoto kwa issues serious Pasko
Duh...!, umejuaje?!. Ina maana watu wa tume wamekisha data za mashahidi!, hili halikubaliki!.Mkuu wewe ndio uliopeleka video ya lissu kukinukisha?
Hata nikifanya mazuri vipi, kuna watu humu huwa wananisema vizuri?. Nimeisha zoea!.Wewe unatafuta watu wakuseme vibaya! 😅🤣😳🙄
Tusubiri tuone kitakachosemwa, ila Ile kauli ya Lipumba kuhusu hii Tume inafikirisha.Sasa hii Tume ya Chande sijui itakuja na aina ya majibu ya Tume ya Rwanda, Tume ya Afrika ya Kusini au Tume ya kukingia kifua utawala haramu wa CCM ya Samia ?
Upongezwe kwa unafiki wako au upongezwe kwa kipi?Kwa sisi tuliojitokeza kuipa ushirikiano tume hiyo hatuna budi kujipongeza kama na mimi nisinge jitokeza, idadi ingekuwa ni watu 63,602, kutokana na mimi kujitokeza idadi imekuwa 63,603, huyo wa 63,603 ni mimi!.
Nipongezeni jameni.
P
Hivi bila nguvu ile unadhani wale wahuni wangepoa? Sijui tungekuwa kama Sudan labda kufika sasa hiviMajibu ya mamlaka yao ya uteuzi kwamba waandamanaji walizimwa kulingana na nguvu waliotumia, waliyazingatia vipi?
Watanzania kwa sasa wanamjua adui yao.Naona kabisa Chadema ikienda kuangushiwa jumba bovu. Maana kinazungumzwa kikubwa ni ni chanzo cha vurugu, sioni suala la.watu waliouliwa nje ya maeneo ya vurugu na majeruhi wazima waliohitaji matibabu wakitupwa mochwari na pia maiti za maelfu ya watu hazikukabidhiwa kwa mazishi likitajwa.