Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hakuna ripoti mtatoa iwasafishe na uwekundu wa hizo damu! Yaani kila mkitoa taarifa inatofautiana na ya awali!
#Satanism!#Killers
 
Kabisa! Tumefika pabaya! LAKINI damu ya mtu ikimwagwa haisafishiki bure bila gharama. Subirini laana/adhabu!
 
Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mstaafu Mohamed Othman Chande alisema jukumu lao lilikuwa kuchunguza ukweli wa vurugu zilizotokea wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29. Tume ilikusanya ushahidi ili kujua sababu, wahusika na athari za kiuchumi, kijamii na kibinadamu. Ripoti hii imevunja hadithi za uwongo. #UchunguziWaHaki
#TumeYaUchunguziReport
Haki Bila Kubagua
 
Ni uhakika wa kulipwa elfu saba ndio unaokufanya ujitoe fahamu kiasi hiki au kuna lingine nyuma ya pazia?

Mana sio kwa upuuzi huu.
 
Hiyo mimba yako uliyopewa na Chande bado haijatoka?,tangu ripoti itoke unahangaika sana, nina wasiwasi hii ID nyingine ya Lukasi MuoshaMbwa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Hiyo tume iliyoshindwa hata kujumlisha idadi ya uongo ya vifo 500+? Sijawahi kuona wazee wajinga kama hao. Bado wanadhani hiki ni kile kizazi cha kutengenezewa ripoti za kusafisha viongozi waovu?
 
Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 imethibitisha uaminifu mkubwa wa kazi yake. Chini ya Mwenyekiti Mstaafu Jaji Mkuu Mohamed Othman Chande, tume ilikusanya maoni 953 yaliyothibitishwa kiapo kutoka kwa wananchi na 26 kutoka polisi. Walifanya mazungumzo ya ana kwa ana na raia 6205 katika siku 153. Hii ni moja ya tume kubwa na za kina katika historia ya Tanzania. Ripoti yao inaonyesha picha halisi ya ghasia zilizopangwa na kuratibiwa. Uwajibikaji lazima uwe wa haki na kisheria. #WananchiNaUkweli
#TumeYaUchunguziReport
Uwajibikaji Wa Haki

 
Sasa bosi wenu alisema tume ile ilikuwa mali yake.
 
Ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa vurugu za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 ni ya kihistoria, ikionesha uadilifu wa hali ya juu. Imejengwa juu ya ushahidi wa kina, ushirikishwaji wa wananchi na kujitolea kufikia haki bila upendeleo kwa wote nchini. #RipotiYaHistoria
#TumeYaUchunguziReport
Jaji Chande
 
Hebu wajibu kwanza chadema wanataka kujua hizo maiti 518 ambazo tume ilizifanyia uchunguzi walizitoa wapi? Au walizifukua kaburini? Baada ya uchunguzi je maiti zitakabidhiwa Kwa ndugu zao au zitarudishwa kufichwa zilikokuwepo?

Hebu jibu kwanza mkuu, then ndio uje na blahblah zako.
 
Huyu k.enge ana mimba ya Chande inamsumbua, alianza hata kabla ya ripoti kutoka, anaweza kuwa Lukas kwa kutumia ID nyingine maana upeo wa kufikiri upo chini sana kama wa Lukas. Hilo swali ulilomuuliza limemzidi uwezo utasababisha afute thread yake.
 
Huyu k.enge ana mimba ya Chande inamsumbua, alianza hata kabla ya ripoti kutoka, anaweza kuwa Lukas kwa kutumia ID nyingine maana upeo wa kufikiri upo chini sana kama wa Lukas. Hilo swali ulilomuuliza limemzidi uwezo utasababisha afute thread yake.
Wanakera sana. Chawa wana viwango duni mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…