Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Mbowe ni mjinga. Alifurahia kifo cha Dkt Magufuli. Na bado mpaka atubu. Alidhani kufa Dkt Magufuli ni kufa kwa serikali. Hili ni fundisho kwa wajinga kama yeye ili vizazi vijavyo viheshimu utu.
 
mkuu hii sio kesi ya wizi wa kuku.
hii ni kesi "sensitive" haiwezi kufutwa kienyeji.
nenda kasome vizuri sheria ya makosa ya Ugaidi.
Jaji yupo kwaajili ya kuhakikisha haki inatendeka pande zote, kwa jinsi alivyo ona kuna dosari kadhaa ktk hati ambazo kimsingi zinaweza kupelekea haki isitendeke hivyo kaelekeza marekebisho yafanyike.
Masilahi ya Jaji ni Haki itendeke sio vinginevyo.
 
Shule yako ni kiwango gani ndugu?
 
Ni kweli lakini mahakama imepata aibu kubwa sn
Hakuna aibu yoyote hata kwenye sheria na miongozo ya kimahakama inasema hivyo endapo patakuwepo malalamiko yenye uzito hakimu au jaji anawajibika kujitathimini na kuchukua uamuzi wa kujiondoa kutunza heshima yake na yataasisi ya kutafsiri sheria. Matokeo ya kesi hiyo ni yaleyale tu hata akija mtu mwingine kuiendeleza
 
Huenda Mbowe akawa kama HHlema rais wa Zambia......manake siku hizi maraisi huanzia kifungoni hata Raila Odinga alishafungwa miaka 10 kwa uhaini miaka ya 80s ndio maana 2022 huenda akawa raisi...
 
mambo sio mepesi hivi mkuu,
hali ni ngumu sana kwenye ilo swala,
ingekua rahisi, uyo kamanda angeshapigwa namba mda sana..
 
K
Masikini Mbowe anafungwa hivi hivi kutokana na ujinga wa Watanzania kuwapigania watu wasiojielewa ni kazi sana.
Kweli kabisa Mimi nilisema toka kipindi Cha uchaguzi mkuu,kuwa wapinzani wanatakiwa waachane na siasa watanye shughuli zao maana wananchi hatujitambui.
 
Huwa unapuyanga sana.... masuala ya kisheria waachie wanasheria, haya Jaji kajitoa unasemaje.
 
Mbona unatumia nguvu kubwa kumtetea jaji wewe mbogamboga..
 
Kwa hiyo tuanze vikao vya kamati za maandalizi ya sherehe za kumpongeza makengeza ameshinda kesi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…