Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

..ndani ya ccm kuna hofu hakuna demokrasia.

..hakuna anayeweza kumchallenge mwenyekiti halafu vyombo vya dola visimshughulikie.
At least baada ya miaka 10 kunakuwa na Mwenyekiti mpya. Huko mnamtumikia Edwin Mtey mwenye chama na mkwewe Mbowe.

Hata ile fedha aliyovuta mwaka 2015 kwa Lowassa Tshh 10 Bilion aligawana na Mtey na Maalim Seif. Then akamuacha agombee uRais badala ya Dr Slaa.

Wajinga hapa mnadhani mnamtetea mwanaharakati wa Katiba mpya kumbe mnamtetea mjarisiriamali wa siasa
 
Hata asiposoma majibu na maamuzi yalishafanyika.
 
Kwa akili yako ndogo ndiyo unadhani humo ccm si wajasiria tumbo ?!. Humo ndiyo kama hueleweki tupa pembeni
 
Ana maamuzi tayari na alishajisomea hata kabla ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wake.

Sisi tuko tayari Kwa maamuzi yeyote atakayoisoma tar kumi na nane.
 

..Ni kwasababu ya dola sio kwasababu ccm wanaamini ktk demokrasia.

..ccm wangekuwa wanaamini demokrasia wangeruhusu siasa zifanyike kwa HAKI bila kuingiliwa na vyombo vya dola.
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
We jamaa uko empty
 
Kwa siku unasima watsapp messages ngapi? Na kufanya maamuzi?
Habari za siku nyingi Jingalao? Hukumu ya kesi ya kuchonga imekuamsha usingizini Hadi unakosea kuchapa Kwa usahihi? Karibu jukwaani!
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
Eti alitakiwa asikilize upande wa utetezi protocol ya usikilizaji wa kesi nchi gani huo ,?
 
Mbona kama huna imani na jaji?
 
Mengi kuko ndani ni kibatala kajaza ma irrelevant questions ambayo kimsingi ni matango pori

Naweza kusoma nia ya judge kuruhusu maswali hayo chechefu yasiyokuwa na msingi wowote kisheria , ni kuwaacha wateme nyongo zao maana hawachelewi kuandamana, na baadaye atachuja yenye substance ambayo kimsingi ni machache kwenye rulling yake ya prima facie

Katika hali ya kawaida hakuna maswali ya msingi ya kumuulista shahidi siku 3 mfululizo
 
Rudi kwenu ukatengeneze vile visu vya kukatia majani ya ng'ombe, sheria na utaratibu wa kimahakama huvijui na hujawahi kupractice law popote!
Kwa ufupi, Kibatala siyo size Yako na itakuchukua miaka 100 kuzifikia level zake! Acha unaa!
 
Rudi kwenu ukatengeneze vile visu vya kukatia majani ya ng'ombe, sheria na utaratibu wa kimahakama huvijui na hujawahi kupractice law popote!
Kwa ufupi, Kibatala siyo size Yako na itakuchukua miaka 100 kuzifikia level zake! Acha unaa!
Hayo mambo ya space mnavyojidanganya hata wakati wa trial within trial baada ya hao watuhumiwa ku retract na ku repudiate confession zao, si huyo jamaa yenu aliluwa anauliza hayo matango pori yake muda mreefu ,mkawa mnashangilia kwenye space kuwa hayatapokelewa kama exhibit, do you remember what happened? Tell your friends to prepare for deffence the prima facie case will be successful made, tell them also to prepare for mitigation
 
Ina maana Uhuru wa mahakama unaohubiriwa ni bandia ?
Nani alikwambia mahakama ina uhuru Tanzania? The speaker of our parliament recently admitted that the president is their boss, this implies that both the Judiciary and Legislature get their marching orders from the Executive!!
 
Huyu jaji lazima anamaelekezo mapya kwamba futilia mbali hii kesi kwa kuwa inaenda kuiacha serikali uchi endapo watafika akina Mbowe kujitetea...kwa hiyo hii imeisha Mkuu

Wakati mwingine watu mnajipa matumaini hewa tu. Unajua kwamba DPP ana power of nolle prosequi? Serikali itakuwa na sababu gani ya kutaka office ya DPP ipate aibu ya no-case-to-answer ruling badala ya DPP mwenyewe kufanya entry ya nolle prosequi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…