Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

..ndani ya ccm kuna hofu hakuna demokrasia.

..hakuna anayeweza kumchallenge mwenyekiti halafu vyombo vya dola visimshughulikie.
At least baada ya miaka 10 kunakuwa na Mwenyekiti mpya. Huko mnamtumikia Edwin Mtey mwenye chama na mkwewe Mbowe.

Hata ile fedha aliyovuta mwaka 2015 kwa Lowassa Tshh 10 Bilion aligawana na Mtey na Maalim Seif. Then akamuacha agombee uRais badala ya Dr Slaa.

Wajinga hapa mnadhani mnamtetea mwanaharakati wa Katiba mpya kumbe mnamtetea mjarisiriamali wa siasa
 
Kwa akili yako ndogo ndiyo unadhani humo ccm si wajasiria tumbo ?!. Humo ndiyo kama hueleweki tupa pembeni
 
Ni muda muafaka kwa Rais @SuluhuSamia kuliomba radhi Taifa na Dunia kwa kudanganya kupitia vyombo vya Habari vya Kimataifa juu ya Tuhuma mlizombambikia @freemanmbowetz, ili kulinda hadhi ya cheo hicho na Heshima ya Taifa letu pendwa. Kiukweli, Mama umetukosea Sana. Wako wapi waliofungwa kwenye kesi hii kama ilivyoripotiwa wakati rais akihojiwa na BBC?

Je ni kweli kuwa Mbowe alikuwa ametoroka nchi? Mwendesha mashtaka kaiambia mahakama kuu kuwa hakuna mtuhumiwa aliwahi kufungwa kwenye kesi hii....kama mheshimiwa rais alikuwa sahihi nashauri mwendesha mashtaka Inspector Swila afukuzwe kazi na kufunguliwa mashtaka ya kumdhalilisha rais wetu mpendwa SSH

Huyu jaji sijui itakuaje maana kwenye kesi ndogo huyu jaji alikuwa anaomba muda wa wiki mbili au 3 kujibu mapingamizi na kutoa hukumu (rulling) Sasa hii kesi Ina kurasa 1500 amesema ijumaa atatoa rulling au hukumu ya ana kesi ya kujibu au Hana arejee mtaani,siku mbili zitamtosha kusoma hukumu ndefu Kama hii,au ana maamuzi tayari alishayaandika ???.
Ana maamuzi tayari na alishajisomea hata kabla ya upande wa Jamhuri kufunga ushahidi wake.

Sisi tuko tayari Kwa maamuzi yeyote atakayoisoma tar kumi na nane.
 
At least baada ya miaka 10 kunakuwa na Mwenyekiti mpya. Huko mnamtumikia Edwin Mtey mwenye chama na mkwewe Mbowe.

Hata ile fedha aliyovuta mwaka 2015 kwa Lowassa Tshh 10 Bilion aligawana na Mtey na Maalim Seif. Then akamuacha agombee uRais badala ya Dr Slaa.

Wajinga hapa mnadhani mnamtetea mwanaharakati wa Katiba mpya kumbe mnamtetea mjarisiriamali wa siasa

..Ni kwasababu ya dola sio kwasababu ccm wanaamini ktk demokrasia.

..ccm wangekuwa wanaamini demokrasia wangeruhusu siasa zifanyike kwa HAKI bila kuingiliwa na vyombo vya dola.
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
We jamaa uko empty
 
Kwa siku unasima watsapp messages ngapi? Na kufanya maamuzi?
Habari za siku nyingi Jingalao? Hukumu ya kesi ya kuchonga imekuamsha usingizini Hadi unakosea kuchapa Kwa usahihi? Karibu jukwaani!
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
Eti alitakiwa asikilize upande wa utetezi protocol ya usikilizaji wa kesi nchi gani huo ,?
 
..

..waliachana na mambo ya submission kwasababu Jaji hataki.

..hukusoma kwamba Jaji aliuliza kwanini utetezi wanataka kufanya oral submission baada ya jamhuri kufunga ushahidi?

..nadhani Jaji anaogopa oral submission ya utetezi itakwenda kufanya uamuzi wake wa kuwadhulumu watuhumiwa kuwa mgumu na kuonekana sio wa haki.
Mbona kama huna imani na jaji?
 
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.

Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days?

Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.

Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Mengi kuko ndani ni kibatala kajaza ma irrelevant questions ambayo kimsingi ni matango pori

Naweza kusoma nia ya judge kuruhusu maswali hayo chechefu yasiyokuwa na msingi wowote kisheria , ni kuwaacha wateme nyongo zao maana hawachelewi kuandamana, na baadaye atachuja yenye substance ambayo kimsingi ni machache kwenye rulling yake ya prima facie

Katika hali ya kawaida hakuna maswali ya msingi ya kumuulista shahidi siku 3 mfululizo
 
Rudi kwenu ukatengeneze vile visu vya kukatia majani ya ng'ombe, sheria na utaratibu wa kimahakama huvijui na hujawahi kupractice law popote!
Kwa ufupi, Kibatala siyo size Yako na itakuchukua miaka 100 kuzifikia level zake! Acha unaa!
 
AIkP5Y.jpg
 
Hayo mambo ya space mnavyojidanganya hata wakati wa trial within trial baada ya hao watuhumiwa ku retract na ku repudiate confession zao, si huyo jamaa yenu aliluwa anauliza hayo matango pori yake muda mreefu ,mkawa mnashangilia kwenye space kuwa hayatapokelewa kama exhibit, do you remember what happened? Tell your friends to prepare for deffence the prima facie case will be successful made, tell them also to prepare for mitigation
 
Ina maana Uhuru wa mahakama unaohubiriwa ni bandia ?
Nani alikwambia mahakama ina uhuru Tanzania? The speaker of our parliament recently admitted that the president is their boss, this implies that both the Judiciary and Legislature get their marching orders from the Executive!!
 
Huyu jaji lazima anamaelekezo mapya kwamba futilia mbali hii kesi kwa kuwa inaenda kuiacha serikali uchi endapo watafika akina Mbowe kujitetea...kwa hiyo hii imeisha Mkuu

Wakati mwingine watu mnajipa matumaini hewa tu. Unajua kwamba DPP ana power of nolle prosequi? Serikali itakuwa na sababu gani ya kutaka office ya DPP ipate aibu ya no-case-to-answer ruling badala ya DPP mwenyewe kufanya entry ya nolle prosequi tu?
 
Back
Top Bottom