Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
At least baada ya miaka 10 kunakuwa na Mwenyekiti mpya. Huko mnamtumikia Edwin Mtey mwenye chama na mkwewe Mbowe...ndani ya ccm kuna hofu hakuna demokrasia.
..hakuna anayeweza kumchallenge mwenyekiti halafu vyombo vya dola visimshughulikie.
Hata ile fedha aliyovuta mwaka 2015 kwa Lowassa Tshh 10 Bilion aligawana na Mtey na Maalim Seif. Then akamuacha agombee uRais badala ya Dr Slaa.
Wajinga hapa mnadhani mnamtetea mwanaharakati wa Katiba mpya kumbe mnamtetea mjarisiriamali wa siasa