Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Jaji kufanya uchambuzi wa kurasa 1,500 ukaweza kutoa hukumu kwa siku mbili ni jambo lisilowezekana

Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.

Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days? Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.

Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Kumbuka hii ni kesi ya mchongo. Uamuzi anao tayari.
 
Hii kesi imeshaisha Ijumaa Mahakama inatamka rasmi Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu....hakuna mtu yuko tayari kubaki na nguo za ndani pekee wala hakuna aliyetayari kuonyesha maungo yake.
 
..Jaji alitakiwa asikilize hoja za utetezi kabla ya kuamua kama watuhumiwa wanayo kesi ya kujibu au la.

..Huyu Jaji kila anapotaka kufanya jambo baya anakimbilia kujadiliana na mawakili OFISINI / FARAGHA.
Huyu jaji lazima anamaelekezo mapya kwamba futilia mbali hii kesi kwa kuwa inaenda kuiacha serikali uchi endapo watafika akina Mbowe kujitetea...kwa hiyo hii imeisha Mkuu
 
Pengine kila siku andika hukumu, ukizingatia kesi yenyewe ya michongo....

Inahitaji saa moja tu kuandika hukumu kwa kesi hii, siku 3 ni nyingi mnoo
 
Hii kesi imeshaisha Ijumaa Mahakama inatamka rasmi Mbowe na wenzake hawana kesi ya kujibu....hakuna mtu yuko tayari kubaki na nguo za ndani pekee wala hakuna aliyetayari kuonyesha maungo yake.
mbowe hachomoki
 
Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Tusikate tamaa, tuzidi kuomba, Mungu yupo na wote tunaamini hivyo kwamba vyombo hivi vya HAKI basi vitende HAKI kwani haki huinua Taifa.
 
Watanzania gani unaowaongelea? Watu wako busy kutafuta hela wapeleke chakula mezani, wasomeshe watoto wao, waishi maisha wayatakayo. Hakuna mtanzania anaweza kuchukua sheria mkononi kwa ajili ya kumtetea huyo Mbowe!

Hata hako kakikundi kake la CHADEMA kanaweza kuandika JF tu lakini hakawrzi kuingia mtaani
Aina yako ni mizigo iliyobebwa na Tanganyika. Unafurahia kuwa na wananchi mbumbumbu, wasioweza hata kupigania haki zao !!

Kwa maana ya kwamba Cdm isipodai haki za wananchi, ibakie hisani za viongozi ?!

Jinga kabisa
 
Hii kesi ikifutwa tutakosa tuyajua mengi sana! Kesi hii imeiumbua serikali kwamba inafanya mambo kienyeji sana! Jeshi la Polisi limeoza. Na wanataka kuambukiza uozo huo kwa JWTZ.

Kama isingekuwa akina Mbowe wanateseka sana kiasi cha kunyimwa chakula nilitamani zamu ya kuleta mashahidi wa utetezi ifike ili yule shahidi aliyesema kuna watuhumiwa wengine wa kesi hii wameshafungwa, aje mahakamani atwambie hao waliofungwa ni akina nani na walihukumiwa na mahakama ipi?
 
Mkuu, hizo 15,000 pages unazozitaja kwenye heading yako umezipata wapi?

Huhitaji kuwa na shaka juu ya hili. Judge ni mtu aliyepata training na experience ya kutosha kuchakata legal facts. Remember, he isn’t handing down a final verdict. Kwahiyo, hakuna sababu ya yeye kushindwa kufikia uamuzi (ndani ya siku mbili) wa ama watuhumiwa wana kesi ya kujibu au la.

Kwenye nchi za Wazungu hili zoezi hufanywa mapema kabisa na grand juries, ambazo members wake ni raia wa kawaida tu (kama mimi na wewe) na hazitumii information of this magnitude to hand down an indictment against a defendant.

Defendant akishakuwa indicted na grand jury, kinachofuata ni trial phase (ambapo prosecution na defense wanawasilisha cases zao) unless (prosecution na defendant) wameamua kufanya mapatano ya plea (plea bargaining). Kwa mtazamo wako, nadhani wewe kila siku ungezituhumu hizo grand juries kwamba hazitendi haki.
[emoji871]@PulchraAnimo
Umenyoosha ukweli
 
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.

Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days?

Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.

Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Jaji mwenyewe kashaona hakuna kesi pale. Sasa atumie siku nyingi za nini? Ni kujichosha tu
 
Hii kesi ikifutwa tutakosa tuyajua mengi sana! Kesi hii imeiumbua serikali kwamba inafanya mambo kienyeji sana! Jeshi la Polisi limeoza. Na wanataka kuambukiza uozo huo kwa JWTZ.

Kama isingekuwa akina Mbowe wanateseka sana kiasi cha kunyimwa chakula nilitamani zamu ya kuleta mashahidi wa utetezi ifike ili yule shahidi aliyesema kuna watuhumiwa wengine wa kesi hii wameshafungwa, aje mahakamani atwambie hao waliofungwa ni akina nani na walihukumiwa na mahakama ipi?
Mambo makubwa na ya ajabu sana
 
Dada Beatrice, unataka ajipange vipi? Hata jana kama kungekuwa na ulazima au uharaka wa kutoa maamuzi, angeweza kufanya hivyo. Hizi siku mbili sana sana zitamsaidia kujipanga jinsi ya kuwasilisha hukumu ambayo hata wenye akili kiduchu wameshagundua kwamba mheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na walinzi wake watatu hawana kesi ya kujiunga, na sioni jinsi ambavyo mheshimiwa jaji anaweza kujipa jukumu la kutengeneza hukumu ya kumpa mheshimiwa Mbowe kesi ya kujibu iliyowashinda Tiss, Jeshi la polisi, ofisi ya DCI na DPP!
 
..subiri atakapoanza kuwashughulikia wana-ccm.
Pamoja na udhaifu wa CCM bado Tanzania iko mikono salama kuliko ingekuwa kwenye chama chochote cha UPINZANI kulichopo sasa.

Kama ni demokrasia na utawala Bora tunawaona CCM wakutupa Wenyeviti 4 kuanzia mwaka 2003 huku CDM ikiwa na Mwenyekiti mmoja tu.
 
Hizo mbona chache sana.

Tatizo ujuaji umewazidi mnapenda kufundisha watu kazi zao.
 
Mhe. Jaji amesema tarehe 18/02/2022 atatoa maamuzi kama watuhumiwa wana Kesi ya kujibu au la. Wakati huohuo ameeleza Kwamba karani wake ameshaandika page 1400+ na Kwamba anatakiwa kiutaratibu Jaji anapaswa kusoma nakutoa maamuzi ni facts zipi zinahitajika kuprove kama Kuna kesi ya kujibu au la.

Mashaka ninayopata ni muda wa siku mbili kwa Jaji na timu yake kusoma na kutoa maamuzi ya haki. Kama uamuzi mdogo wa kesi ndani ya kesi ilichukua weeks kutolea maamuzi inakuwaje kesi kubwa itolewe maamuzi ndani ya two days?

Endapo maamuzi yatatoka tarehe 18/02/2022 naaamini yataingia Kwenye records za Dunia Kwa kesi yenye facts in bulk of pages kuamuliwa ndani 72 hours.

Napata pia wasiwasi pale ninapohusianisha kesi na maamuzi ya Mahakama huko Mbeya ya kumfunga kijana mdogo kifungo Cha maisha Kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya Kiongozi wa CCM moto. Hakimu aliyetoa hukumu Ile ni reflection ya aina w watendaji wa Mahakama tulionao. Promise to promotion
Uko sahihi kuona siku mbili ni chache sana kusoma na kutoa uamuzi. Lakini hukumu yoyote sio swala la siku moja au mbili au tatu. Kila SIKU jaji aliposikiliza mashahidi, maswali ya mawakili - ALITENGENEZA uamuzi mdogo. Alijiuliza maswali na alipata au hakupata majibu. Kuna maswali yake yatakuwa bila majibu (haya ndio yatatumiwa kutoa uamuzi wa kutokuwa na kesi ya kujibu - si juu ya Jaji kutafuta majibu). Kwa hakika jaji tayari ana uamuzi mara tu baada ya kusikiliza shahidi wa mwisho. Anachoenda kufanya ni kuandika uamuzi huo na hilo si jambo la kuchukua muda. Hawa majaji ni watu waliobobea na uwezo wao usilinganishwe na sisi tusiokuwa na utaalamu wala uzoefu.

Ninaona kuna kesi ya kujibu hasa kwenye silaha. Kuna kesi ya kujibu kwa sababu madai yaliyotolewa na upande wa mashtaka hayajatolewa ushahidi na upande wa utetezi. Kuna kesi ya kujibu na kwa kuwa tumeshaanza kusikiliza kesi, ni vema waTanzania wakaendelea kujua zaidi. Binafsi nina hamu ya kusikia utetezi ili kupata kufahamu nini hasa kilitokea. Ni vema kufanya uamuzi baada ya kusikiliza pande mbili.

Na kama hakutakuwa na kesi ya kujibu - Jaji atajikita zaidi kwenye PGO na jinsi kesi ilivoanzishwa, ilivopelelezwa. Kuna makosa mengi sana ya kipolisi yamefanyika katika kesi hii kwa sababu tu ya mazoea. Haitakuwa ni kwa sababu ya ushahidi kutotosha.
 
Aina yako ni mizigo iliyobebwa na Tanganyika. Unafurahia kuwa na wananchi mbumbumbu, wasioweza hata kupigania haki zao !!

Kwa maana ya kwamba Cdm isipodai haki za wananchi, ibakie hisani za viongozi ?!

Jinga kabisa
Kwanini hao CDM waaianze kudai haki zao ndani ya CDM kwanza kabla hawajadai haki za Nchi mzima?

Hivi inakuaingia akilini kweli kuwa CDM Haina mtu mwingine anayeweza kuwa Mwenyekiti zaidi ya Mbowe?

Kwa nini watu waliotaka kugombea uwenyekiti au wanakuga mysteriously (Chacha Wangwe) au wanafukuzwa uwanachama (Zitto)
 
Back
Top Bottom