Mkuu, hizo 15,000 pages unazozitaja kwenye heading yako umezipata wapi?
Huhitaji kuwa na shaka juu ya hili. Judge ni mtu aliyepata training na experience ya kutosha kuchakata legal facts. Remember, he isn’t handing down a final verdict. Kwahiyo, hakuna sababu ya yeye kushindwa kufikia uamuzi (ndani ya siku mbili) wa ama watuhumiwa wana kesi ya kujibu au la.
Kwenye nchi za Wazungu hili zoezi hufanywa mapema kabisa na grand juries, ambazo members wake ni raia wa kawaida tu (kama mimi na wewe) na hazitumii information of this magnitude to hand down an indictment against a defendant.
Defendant akishakuwa indicted na grand jury, kinachofuata ni trial phase (ambapo prosecution na defense wanawasilisha cases zao) unless (prosecution na defendant) wameamua kufanya mapatano ya plea (plea bargaining). Kwa mtazamo wako, nadhani wewe kila siku ungezituhumu hizo grand juries kwamba hazitendi haki.