Wanakera siyo kidogo. Imagine mtu unafuatilia nakala ya hukumu, proceedings na drawing order zaidi ya miezi 4. Hawajali muda wa watu na fedha. Mahakama inahitaji reforms kubwa sanaKATIKA IDARA ILIYOOZA MAHAKAMA POLISI WANAONGOZA.KILA KITU RUSHWA NA UZEMBE UMEKITHIRI
Hawa jamaa rushwa ni sehemu ya maisha yaoKATIKA IDARA ILIYOOZA MAHAKAMA POLISI WANAONGOZA.KILA KITU RUSHWA NA UZEMBE UMEKITHIRI
Hakuna kitu mfumo mbovu wa kuwapata majaji ndiyo umetufikisha hapaWanakera siyo kidogo. Imagine mtu unafuatilia nakala ya hukumu, proceedings na drawing order zaidi ya miezi 4. Hawajali muda wa watu na fedha. Mahakama inahitaji reforms kubwa sana
Umesema ukweli mtupu...KATIKA IDARA ILIYOOZA MAHAKAMA POLISI WANAONGOZA.KILA KITU RUSHWA NA UZEMBE UMEKITHIRI
Wanaweza kupunguza kwa kiasi flani kama wataamua kuwa serious.Umesema ukweli mtupu...
Hilo haliwezi kuisha sasa hivi hata aje kiongozi gani...
Yaani ni mfumo rasmi ndani ya taasisi nyeti za Serikali
Mkuu mimi nilikuwa nina shida ofisi fulani Dodoma. nilizungushwa wiki nzima. Nenda huku rudi huku..Wanaweza kupunguza kwa kiasi flani kama wataamua kuwa serious.
Na kesi za rushwa wanahukumu wao!watu wa mahakamani kitu cha kwanza kitakachowafanya wasiuone ufalme wa Mungu ni "rushwa". mahakama imejaa rushwa, mamaji wa mahakama ya rufani tu ndio sio wala rushwa, ila wengine woote hadi mahakimu, hata ukienda nyumbani kwao ukiona kuna kitu, meza jua hiyo ni zao la rushwa. tumwogope Mungu.
Kazi ipoHakuna kitu mfumo mbovu wa kuwapata majaji ndiyo umetufikisha hapa
Pole sana Mkuu wako bize na mambo ya chama kwanza. Unajua Uchaguzi uko karibuJaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Sio drawing order, ni drawn order.Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Kwa m8najili ya kutomulikwa huwa wanatoa hukumu in favor ya executivesJaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Hahaha asante mkuu. Imagine drawn order ni page ya kurasa moja tuu lakini inachukua miezi 6 kupatiwa.Sio drawing order, ni drawn order.
Siyo kidogoKazi ipo
"....ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa...." [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na kesi za rushwa wanahukumu wao!
Kwanini hii sheria ya rushwa isifutwe ili iwe halali ukitaka huduma ya umma uinunue na anayekuuzia alipe kodi serikalini kutokana na pato hilo la rushwa?
Maana rushwa haiwezi kwisha Tanzania Takukuru na Polisi ndio vinara wa rushwa na nyumba ya kuhukumu wala rushwa inataka rushwa ili ihukumu wala rushwa.