Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

Simsahau huyu mama alibatilisha hukumu yangu ya CMA bila ya kuwa na msingi wa sababu za kisheria.Yaani unasoma hukumu ilivyoandikwa huwezi amini kama Imeandikwa na jaji!!!ucheleweshaji wa utoaji hukumu unavutià waàjiri kutoa rushwa. TAKUKURU iitishe majaladà aliyotengua maamuzi ya CMA na kuona jinsi anavyominya haki.Na yeye na waajiri wanajua wahanga wengi hawana uwezo wa kìfèdha kuķata rufaa.
 
K

kweli kabisa. Mimi mwenyewe kanitolea hukumu ya kionevu sanaa. Mpaka mtu unajiuliza huyu mama alipataje huo ujaji? Lakini watu wanamtuhumu kuwa ni mpokea rushwaa. Ifike mahali mahakama itengeneze chombo huru kitakachokuwa kinapitia maamuzi ya hawa majaji na wale watakaoneka maamuzi yao mengi ni ya kimaghumashi basi mahakama iangalie namna ya kuwawajibisha.
 
Hukn kitu wala sehemu serkali hi imeweza kufanya kwa umahiri makini
 
Kabla ya kuja huku nikushauri kitu Mkuu, andika barua ya kuomba nakala ya hukumu/amri na kama umekwishaiandika awali basi andika barua ya kukumbushia kuomba nakala ya hivyo unavyohitaji.

Kama ulikwishafanya yote hayo, sasa andika barua ya malalamiko kwenda kwa Mh. Naibu Msajili elezea yote uliyofanya ambatanisha na hizo barua zako. Nakala kwa Mh. Jaji Mfawidhi na Mh. Jaji husika.

Kwasababu gani uandike barua zote hizo?, ni ili kwanza kukumbushia barua ya kwanza ya kuomba nakala ya hukumu/amri. Pengine imesahaulika au imewekwa sehemu isiyo sahihi. Pili barua hizo zitakusaidia kuonesha kumbukumbu vizuri pale utakapokuwa nje ya muda, uweze kuomba kuongezewa muda.

Unapaswa kufahamu kuwa Mh. Jaji yeye hapokei barua yako ya kuomba nakala ya hukumu, bali kuna watu wanaofanya hiyo kazi ambao ni makarani wa Mahakama au karani wa Mh. Jaji husika. Uzembe unaweza kutokea kwa hao watu barua isifanyiwe kazi kwa muda au hata kupotea.

Kama Mh. Jaji husika alisema bado hajaiandaa nakala ya hukumu/amri hiyo basi pima uwiano wa muda na uwe na hakika kuwa alitamka hayo yeye binafsi na sio karani akuambie Mh. Jaji hajaandaa nakala ya hukumu/amri.

Kama haujafanya hayo yote hii tuhuma haina msingi Mkuu na umekosea sana, labda kwa mhemko au sababu zinginezo.

Kila la kheri Mkuu.
 
Inaumiza mnoo.
Simsahau huyu mama alibatilisha hukumu yangu ya CMA bila ya kuwa na msingi wa sababu za kisheria.Yaani unasoma hukumu ilivyoandikwa huwezi amini kama Imeandikwa na jaji!!!ucheleweshaji wa utoaji hukumu unavutià waàjiri kutoa rushwa. TAKUKURU iitishe majaladà aliyotengua maamuzi ya CMA na kuona jinsi anavyominya haki.Na yeye na waajiri wanajua wahanga wengi hawana uwezo wa kìfèdha kuķata rufaa.
 
Kuna jaji mmoja dodoma ni dr wa phd naye ni zaidi

hii siyo sawa
 
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.

Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.

Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Asili tu ya jina lake linamsemea alipataje uteuzi. Shida inaanzia hapo.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.

Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.

Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Roughly 90% ya hukumu zimepotoka. Wenye haki ndiyo wamepelekwa jela wasio haki wako huru kwenye jamii wakiendeleza uhalifu. Dunia inahitaji mfumo mpya usiopotoka wa kutoa haki.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Roughly 90% ya hukumu zimepotoka. Wenye haki ndiyo wamepelekwa jela wasio haki wako huru kwenye jamii wakiendeleza uhalifu. Dunia inahitaji mfumo mpya usiopotoka wa kutoa haki.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
kiukweli, kuwa na wanadamu wenye ubongo kama wa kwako ni hasara sana kwa hii dunia. kwanini umefikiria hivi? umeshafanya kazi mahakamani au huwa unatembelea tu kama mtalii siku chache?

nimefanya kazi kama wakili miaka mingi sana, nimewakilisha watu wengi kwenye ikijumuisha na rufaa za wale ambao wamefungwa. nakuhakikishia kwamba ni asilimia chache sana za watu wanaenda gerezani kwa kusingiziwa, majority wamefanya,na hata hao wanaolalamika ni kwamba wanajua wamefanya ila ushahidi ulikuwa hafifu kwao au kutokana na teknikaliti fulani walitakuwa kuwa nje ila moyoni wanajua walifanya kosa. fikiria, polisi wafanya upelelezi, kesi iendeshwe mahakamani na DPP, mahakama ipo inaona, mshitakiwa amepewa nafasi kujitetea, halafu kweli useme wenye haki ndio wanaenda gerezani? au ungenambia watanzania wengi hawajui sheria hivyo wanafanya makosa bila kujua kama wamekosea ndio maana unawaambia ni wenye haki, lakini haki ni nini? haki ukiwa umevunja sheria ambayo bunge letu liliitunga/sisi wenyewe tulitunga? hebu toa mfano ni nani alienda ndani bila kuwa na kosa.
 
Nilimtetea huyu Jaji sikuwa sawa….Jaji Mkuu anapaswa amuangalie huyu jaji kwa jicho kali. Hatendi haki.
 
Back
Top Bottom