Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Katiba mpya muhimu!Umesema ukweli mtupu...
Hilo haliwezi kuisha sasa hivi hata aje kiongozi gani...
Yaani ni mfumo rasmi ndani ya taasisi nyeti za Serikali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba mpya muhimu!Umesema ukweli mtupu...
Hilo haliwezi kuisha sasa hivi hata aje kiongozi gani...
Yaani ni mfumo rasmi ndani ya taasisi nyeti za Serikali
Unamaanisha Sharia au uislam? Maana anayelalamikiwa ni muislam, jaji mkuu muislam.uislam ndio suluhisho
Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla JajiK
kweli kabisa. Mimi mwenyewe kanitolea hukumu ya kionevu sanaa. Mpaka mtu unajiuliza huyu mama alipataje huo ujaji? Lakini watu wanamtuhumu kuwa ni mpokea rushwaa. Ifike mahali mahakama itengeneze chombo huru kitakachokuwa kinapitia maamuzi ya hawa majaji na wale watakaoneka maamuzi yao mengi ni ya kimaghumashi basi mahakama iangalie namna ya kuwawajibisha.
swali gani unauliza?Unamaanisha Sharia au uislam? Maana anayelalamikiwa ni muislam, jaji mkuu muislam.
Afadhalii. Mimi mpaka kupewa nakala ya ruling na proceedings na drawn order ni baada ya kuja JF. Ni jaji wa hovyo mnooNilimtetea huyu Jaji sikuwa sawa….Jaji Mkuu anapaswa amuangalie huyu jaji kwa jicho kali. Hatendi haki.
Nasikia alikuwa UDSM kama librarian akakutana na prof Maghimbi.......Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla Jaji
Disaster!Jaji SALMA MUSSA MAGHIMBI Jaji Mfawidhi Mahakama kuu Kanda ya Dar amekuwa akichelewesha kutoa nakala za hukumu pamoja na Drawing Order kwa muda mrefu.
Ninavyoongea kuna hukumu alizotoa toka mwezi wa 5 ila mpaka sasa hajaweza kutoa nakala ya hukumu au drawing orders.
Tunaomba Mahakama immulike na kumshinikia kutoa nakala ya hukumu na drawing order kwa kesi ambazo alishazitolea hukumu/uamuzi.
Sasa mtoto ni wa hovyo....au sababu za saikolojia ? Hajajaaliwa bado mtoto....labda ndio shida iko hapoNasikia alikuwa UDSM kama librarian akakutana na prof Maghimbi.......
Amekuaje tena huyo jaji???
Hahaha ha kumbe anatumia cha chuga?Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla Jaji