Jaji Mkuu na Jaji Kiongozi tunaomba muingilie hili kwa mustakabali wa haki. Jaji Salma Maghimbi ni mzigo kwa Mahakama

Umesema ukweli mtupu...
Hilo haliwezi kuisha sasa hivi hata aje kiongozi gani...
Yaani ni mfumo rasmi ndani ya taasisi nyeti za Serikali
Katiba mpya muhimu!
 
Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla Jaji
 
Unamaanisha Sharia au uislam? Maana anayelalamikiwa ni muislam, jaji mkuu muislam.
swali gani unauliza?
hakuna uislam bila Sharia, uislam ni full package sio part time au single package
 
Wame shiba hao wana ona uvivu ata Kutype siku hizi hata awa fikirii wana fanya kuunganisha judgments tu
 
Nilimtetea huyu Jaji sikuwa sawa….Jaji Mkuu anapaswa amuangalie huyu jaji kwa jicho kali. Hatendi haki.
Afadhalii. Mimi mpaka kupewa nakala ya ruling na proceedings na drawn order ni baada ya kuja JF. Ni jaji wa hovyo mnoo
 
Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla Jaji
Nasikia alikuwa UDSM kama librarian akakutana na prof Maghimbi.......
 
Disaster!
Matatizo kila mahali ktk nchi hii.
 
Nasikia alikuwa UDSM kama librarian akakutana na prof Maghimbi.......
Sasa mtoto ni wa hovyo....au sababu za saikolojia ? Hajajaaliwa bado mtoto....labda ndio shida iko hapo
 
Ni zawadi ya jK kwa familia yao....marafiki wakubwa sana wameshibana....mama mpare baba mpemba.....kila mtu alishangaa mvuta bhangi maarufu ghafla Jaji
Hahaha ha kumbe anatumia cha chuga?
 
Ki ukweli huyu mama anaigombanisha mno Serikali na wananchi wake.
 
Hao unaowaombabwaingilie hata wao ni mizigo kwa mhimili wa mahakama na taifa, Nina uhakika mizigo haiwezi kuingiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…