Jaji Mustapha Mohamed Siyani aliyekabidhiwa kesi ya Ugaidi ya Mbowe ni nani?

Je na yeye ataleta upendeleo au atatoa haki?
 
perfect, kigezo kilikuwa ni kuwa katili, mvunja haki, muuaji, mtekaji and the like.
 
Ni lazima ifahamike kwamba;
Kutenda HAKI sio LAZIMA iwe unavyo taka wewe.
Lazima tuelewe kuwa ikitokea;
AMEACHIWA ni HAKI lakini pia ikitokea KAFUNGWA ni HAKI pia.
tusichukulie kuwa Kutendewa HAKI ni kuachiwa huru tu la hasha! tufahamu pia Kufungwa ni sehemu ya kutendewa Haki.
Ushahidi ndio unaamua yote hayo mawili.
Jaji anaagalia ushahidi tu hakuna kingine.
 
Hao majaji wa Magu wote aliwajaza ujinga ....ubongo alichukua akauweka kabatini
 
Inafaa apendekeze kesi ya Mbowe isiendelee kwanza huku akisubiria kwa kukaa ndani mpaka ipatikane Katiba mpya ili apatikane Jaji wanae mridhia atakaetenda haki.

😄😄😄🤣🤣
 
Hawa Majaji wa Magufuli ndiyo si waamini kabisa...!! Hapa inawezekana Mbowe akawa ameruka MKOJO ...... Akakanyaja.....!!
 
You think you are not boring?

1. Hawa vigogo wanalipa kodi?
2. Ule mhimili uliojichimbia zaidi kwa mujibu wa katiba haupo?
3. Hawa vigogo wana wajibika kwa lolote katika maamuzi yao?

I repeat: "you're boring!"
Hawawajibiki popote pale
 
Kuwa Jaji kwa kesi ya uwongo ni kutakana lawana zisizo na msingi na kuvurugiana professionalism, namuomba Jaji asimamie namna sheria inavyosema ili kulinda heshima yake yeye mwenyewe binafsi, familia yake, mhimili wa mahakama na heshima ya Taifa letu kwa ujumla. Mwenyezi Mungu amsimamie ili haki itendeke.
 
Nimesoma case yake moja ameonesha kuwa na huruma... reasonable. Alitumia descretion yake kutenda haki katik kesi hii maana alikuwa na upenyo wa kukataa bila kuulizwa. Naiweka mpitie. It is a simple case with no public interest but can give a hint to his reasoning and humility

6 Attributes of Healthy Humility
  • They acknowledge they don't have it all together. ...
  • They know the difference between self-confidence and pride. ...
  • They seek to add value to others. ...
  • They take responsibility for their actions. ...
  • They understand the shadow side of success. ...
  • They are filled with gratitude for what they have.
 

Attachments

Hawawajibiki popote pale

1. Hawawajibiki popote.
2. Wana mteuzi wao (master) wa kumfurahisha.
3. Hawa lipi kodi, hivyo wana maslahi yao ya kuyalinda.
4. Kuna mhimili uliojichimbia zaidi wenye matakwa yake.

Hatusubirii dodo kwenye mnazi hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…