PostGE2025 Jaji Mwambegele ameuweka rehani ujaji wake kwa uchaguzi wa kupikwa!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hamna Judge pale, Wanyakyusa wameaibika
 
Unayajua maslahi ya jaji wa Rufani achilia mbali uenyekiti wa Tume?
 
Kama Jaji Kaijage tangu atangaze ule uhuni wa 2020 hata kutoka public hawezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kuna watu wa CCM waliokuwa mawakala wa uchaguzi wanashangaa huo wingi wa kura ulitokea wapi.!!!.
 
Aiseee huyo Jaji amejiaibisha sana ,yaani matokeo hayana uhalisia hata chembe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…