Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,982
Reaction score
51,157
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
 
Siku za nyuma watu walipumbazwa kuwa mahakama ikisema iko sahihi, wawekezaji tu ndio walijua hatuna mahakama bali upuuzi mtupu, ndio maana mashauri yao wanayapeleka mahakama za nje. Huko upuuzi wa serekali huwa haifiki na huwa wanashindwa tu.
Kwani mahakama ya nje haiwezi kununulika?
 
Ukiuliza huyo Jaji amepatikana vipi! Unaambiwa ameteuliwa na Rais, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala! Halafu anaenda kuamua kesi dhidi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye malengo ya chama chake kukiondoa chama kilichopo madarakani, na pia kumuomdoa madarakani bosi aliyemteua huyo Jaji wa mahakama kuu!!

Aisee kwa mwenendo huu, Katiba mpya haikwepeki!
 
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Ilikuwa lazima aseme hivyo ili script iendelee kiuhalisia majaji wameona hakuna ushahidi wa maana zaidi ya porojo tuu.

Ila inabidi tutafute kumbukumbu kwenye mahakama zetu kama kuna ruling kama hii iliwahi kutoka mahakama ikisema haiangalii uzito wala ukweli wa ushahidi hiki ni kituko .
 
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.

Mahakama za Tanzania ziko very predictable .... Nchi kwa sasa haina Majaji tena. Hukumu zinatotelwa nje na kuja kusomwa ndani ya mahakama.
 
Back
Top Bottom