Sitegemei iwe hivyo ila lolote linawezekana.Kama hiyo kesi ni ya rais aliyetangazwa kwa kura 31m za uongo, unategemea watoe hukumu nje ya utashi wa huyo rais?
Hakuna kesi hapo boss, kinachofanyika ni hasira za Samia dhidi ya Lisu baada ya Lisu kumuanika kuwa hana uwezo wa urais, sasa anataka kumuonyesha yeye ni nani kwa hii mifumo mibovu ya kikatiba.Sitegemei iwe hivyo ila lolote linawezekana.
Fikiria hii nchi ingekuwa na akina Lissu 10 tu hali inhekuwaje!Lissu alitaka kufanya uhaini akiwa "mtu mmoja"!Lissu ni noma sana!
Rostam alishasema kuhusu utendaji wa hizi mahakama...Hii ni nzuri... Kama kesi itaendelea tutataka kuona mahakama inatafsiri nini kuhusu uhaini.
Bahati nzuri hii siyo kesi ya kwanza ya uhaini hapa Tanzania.
Kuna watu wangekuwa wanakesha wima na wakitoka walijipojificha mchakamchaka unaendelea kama juzi.Fikiria hii nchi ingekuwa na akina Lissu 10 tu hali inhekuwaje!
naomb legal term ya uzitouzito
Kwa msaada wa akili mnembanaomb legal term ya uzito
Hii wiki ijayo inatupiliwa mbali lisu anaachiwaHaya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Sasa kazi ya mahakama ni niniHaya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Chizi hilo mkuu. Anasema unafanya ukalimani😅😅😅😅Sasa hapo nimefanya ukalimani upi. Umeona nimeiandika kwa kiingereza. Au hata maana ya mkalimani huijui?
Kivipi mkuu.Hii wiki ijayo inatupiliwa mbali lisu anaachiwa
Kapewa kosa uongo ili kutengeneza kuwa alijua na kosa ila kasamehewa.
Serikali ina akili kubwa kuchutama mbele ya alaiki ni aibu kwao
Nchi yetu haina mahakama, bali ina kangaroo courts!
In principle, a prima facie case is a cause of action or defense that is sufficiently established by a party's evidence to justify verdict in their favor, provided such evidence is not rebutted by the other party. This means the evidence should be strong enough to cause a judge to find the defendant guilty, provided such evidence isn’t negated.
Now the question here is, has the prosecution presented any evidence to support the allegation that Lissu committed a treasonous act? I have seen none!
Hapo ndipo ujuwe ubora wa mahakama zetu😀😀😀Kwa mtazamo wangu Jaji Ndunguru anasema prosecutors wamefanikiwq kutuhumu hata kama hawana ushahidi.
Tuna majaji mazwazwa sana. Hata aibu hayaoni, ndo maana maamuzi kama haya yakienda mahakama ya rufani yanapigwa chiniUkiuliza huyo Jaji amepatikana vipi! Unaambiwa ameteuliwa na Rais, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala! Halafu anaenda kuamua kesi dhidi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye malengo ya chama chake kukiondoa chama kilichopo madarakani, na pia kumuomdoa madarakani bosi aliyemteua huyo Jaji wa mahakama kuu!!
Aisee kwa mwenendo huu, Katiba mpya haikwepeki!
Kilaza anahitajika kutoa ushahidi mahakamani, ajiandaeMtatafuta nafuu zote za maneno ya jaji
Asante sana, huyu judge anaji contradict. It means kama hawaangalii uzito wa ushaidi, hizo ingredients ulizozosema kwao ni immaterial. Sasa anaangalia nini ili kumtia mtu hatiani au kumuachia?Kwa msaada wa akili mnemba
👇
Katika lugha ya kisheria, "ushahidi wenye uzito" unatafsiriwa kama uzito wa ushahidi (evidential weight) au ushahidi wenye nguvu ya ushawishi unaomfanya jaji au hakimu kuamini ukweli wa jambo fulani. Huu ni ubora, uwezo, na thamani ya ushahidi katika kupima hatia au madai mahakamani, badala ya wingi wa mashahidi au wingi wa makaratasi.
Vipengele Vikuu vya Uzito wa Ushahidi
- Uaminifu na Ukweli (Credibility): Uwezo wa shahidi au maelezo kuaminika bila kuwa na utata au nia ovu. Shahidi mmoja mkweli anaweza kuwa na uzito mkubwa kuliko kundi la mashahidi wa uongo.
- Kukubalika dhidi ya Uzito (Admissibility vs. Weight): Ushahidi unaweza kukubalika kisheria kuingia mahakamani, lakini ukose uzito wa kutosha kuthibitisha shauri.
- Kiwango cha Uthibitisho (Standard of Proof): Katika kesi za jinai, uzito wa ushahidi unapaswa kufikia kiwango cha kuthibitisha pasina shaka yoyote ya kisheria (beyond a reasonable doubt). Katika kesi za madai, unahitaji uzito wa mizani ya uwezekano (balance of probabilities).
- Ushahidi Jumuishi (Corroboration): Wakati mwingine sheria inataka ushahidi wenye uzito uongozane na uthibitisho wa ziada ili uweze kusimama thabiti.
Nilimwambia Tundu lissu kuwa asusie kujitetea hivyo kesi isikilizwe upande mmoja ..ni kupoteza muda bure kujitetea kwenye mahakama za kihalifu.Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Nafikiri lengo lake ni kuweka kumbukumbu sawa!Nilimwambia Tundu lissu kuwa asusie kujitetea hivyo kesi isikilizwe upande mmoja ..ni kupoteza muda bure kujotetea kwenye mahakama za kihalifu.