Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Kwamba inaangalia maelekezo ya Abdul?
 
Ukiuliza huyo Jaji amepatikana vipi! Unaambiwa ameteuliwa na Rais, ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala! Halafu anaenda kuamua kesi dhidi ya mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ambaye malengo ya chama chake kukiondoa chama kilichopo madarakani, na pia kumuomdoa madarakani bosi aliyemteua huyo Jaji wa mahakama kuu!!

Aisee kwa mwenendo huu, Katiba mpya haikwepeki!
Kwa kweli inafikirisha
 
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Nchi yetu haina mahakama, bali ina kangaroo courts!

In principle, a prima facie case is a cause of action or defense that is sufficiently established by a party's evidence to justify verdict in their favor, provided such evidence is not rebutted by the other party. This means the evidence should be strong enough to cause a judge to find the defendant guilty, provided such evidence isn’t negated.

Now the question here is, has the prosecution presented any evidence to support the allegation that Lissu committed a treasonous act? I have seen none!
 
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Mbona amejichanganya sana?
Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' ila Lissu ana kesi ya kujibu kwa ushahidi' ulioletwa na upande wa mashataka.
 
Back
Top Bottom