Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 13,332
- 7,406
Ona hili chawa la Abdul halijui hata linasema nini!!!! Badala ya kumpikia mumeo unaleta taarabu za kizimkazi hapaKwani mahakama ya nje haiwezi kununulika?
Ona hili chawa la Abdul halijui hata linasema nini!!!! Badala ya kumpikia mumeo unaleta taarabu za kizimkazi hapaKwani mahakama ya nje haiwezi kununulika?
Nani anashangaa... Wengi wetu tunaisikitikia mahakama... Tushangae nini kwa mfano?Mnashangaa nini sasa kwamba ana kesi ya kujibu?
Kwa kweli ni Jambo la kufikirisha sana. Ni kwamba Mahakama za Afrika hazipo huru ?? Au lushuwaHaya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
👇
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.