Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Na hapo watu wanachanganya na mahakama kumkuta mtu ana hatia.... Mahakama inachoangalia ni kama kuna case imekuwa established.
Hii ni nzuri... Kama kesi itaendelea tutataka kuona mahakama inatafsiri nini kuhusu uhaini.Kangaroo courts
Hayo maneno kasema ama hajasema?mtatafuta nafuu zote za maneno ya jaji
Judge aseme wewe ndio uwe mkalimani?Hayo maneno kasema ama hajasema?
Sasa hapo nimefanya ukalimani upi. Umeona nimeiandika kwa kiingereza. Au hata maana ya mkalimani huijui?Judge aseme wewe ndio uwe mkalimani?
umekuwa mkalimani maana unataka kutafsiria wasiojua au wasiosikia kinachoendelea mahakamaniSasa hapo nimefanya ukalimani upi. Umeona nimeiandika kwa kiingereza. Au hata maana ya mkalimani huijui?
Siku za nyuma watu walipumbazwa kuwa mahakama ikisema iko sahihi, wawekezaji tu ndio walijua hatuna mahakama bali upuuzi mtupu, ndio maana mashauri yao wanayapeleka mahakama za nje. Huko upuuzi wa serekali huwa haifiki na huwa wanashindwa tu.Judge aseme wewe ndio uwe mkalimani?
Kwani mahakama ya nje haiwezi kununulika?Siku za nyuma watu walipumbazwa kuwa mahakama ikisema iko sahihi, wawekezaji tu ndio walijua hatuna mahakama bali upuuzi mtupu, ndio maana mashauri yao wanayapeleka mahakama za nje. Huko upuuzi wa serekali huwa haifiki na huwa wanashindwa tu.
Sio kipuuzi kama hizi za ccm. Yaani unatoa maamuzi hadi unaonekana mjinga. Huu upuuzi wa mahakama ni kama ule wa kura 31m huku kukiwa hakuna idadi hiyo ya wapiga kura vituoni.Kwani mahakama ya nje haiwezi kununulika?
Ilikuwa lazima aseme hivyo ili script iendelee kiuhalisia majaji wameona hakuna ushahidi wa maana zaidi ya porojo tuu.Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
π
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Haya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
π
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.