Jaji Ndunguru: Mahakama haiangalii uzito wa ushahidi uliotolewa kesi ya Lissu

naomb legal term ya uzito
Kwa msaada wa akili mnemba
πŸ‘‡
Katika lugha ya kisheria, "ushahidi wenye uzito" unatafsiriwa kama uzito wa ushahidi (evidential weight) au ushahidi wenye nguvu ya ushawishi unaomfanya jaji au hakimu kuamini ukweli wa jambo fulani. Huu ni ubora, uwezo, na thamani ya ushahidi katika kupima hatia au madai mahakamani, badala ya wingi wa mashahidi au wingi wa makaratasi.



Vipengele Vikuu vya Uzito wa Ushahidi
    • Uaminifu na Ukweli (Credibility): Uwezo wa shahidi au maelezo kuaminika bila kuwa na utata au nia ovu. Shahidi mmoja mkweli anaweza kuwa na uzito mkubwa kuliko kundi la mashahidi wa uongo.
    • Kukubalika dhidi ya Uzito (Admissibility vs. Weight): Ushahidi unaweza kukubalika kisheria kuingia mahakamani, lakini ukose uzito wa kutosha kuthibitisha shauri.
    • Kiwango cha Uthibitisho (Standard of Proof): Katika kesi za jinai, uzito wa ushahidi unapaswa kufikia kiwango cha kuthibitisha pasina shaka yoyote ya kisheria (beyond a reasonable doubt). Katika kesi za madai, unahitaji uzito wa mizani ya uwezekano (balance of probabilities).
    • Ushahidi Jumuishi (Corroboration): Wakati mwingine sheria inataka ushahidi wenye uzito uongozane na uthibitisho wa ziada ili uweze kusimama thabiti.
 
Hii wiki ijayo inatupiliwa mbali lisu anaachiwa
Kapewa kosa uongo ili kutengeneza kuwa alijua na kosa ila kasamehewa.
Serikali ina akili kubwa kuchutama mbele ya alaiki ni aibu kwao
 
Sasa kazi ya mahakama ni nini
Alafu jana Wasira anasema kesi ya Lisu laIma iendelee
Hii nchi iko kwenye speed kali sana na mwelekeo usio sahihi.
Jumatatu njoo haraka
 
Hii wiki ijayo inatupiliwa mbali lisu anaachiwa
Kapewa kosa uongo ili kutengeneza kuwa alijua na kosa ila kasamehewa.
Serikali ina akili kubwa kuchutama mbele ya alaiki ni aibu kwao
Kivipi mkuu.
Si jamaa ameanza kujitetea leo, maana j3 ni muendelezo wa kujitetea.

Ivi pia mashahidi wake raisi majaji wameamuaje ?
 

Simu / memo / whatsApp
 
Tuna majaji mazwazwa sana. Hata aibu hayaoni, ndo maana maamuzi kama haya yakienda mahakama ya rufani yanapigwa chini
 
Asante sana, huyu judge anaji contradict. It means kama hawaangalii uzito wa ushaidi, hizo ingredients ulizozosema kwao ni immaterial. Sasa anaangalia nini ili kumtia mtu hatiani au kumuachia?
 
Nilimwambia Tundu lissu kuwa asusie kujitetea hivyo kesi isikilizwe upande mmoja ..ni kupoteza muda bure kujitetea kwenye mahakama za kihalifu.
 
Nilimwambia Tundu lissu kuwa asusie kujitetea hivyo kesi isikilizwe upande mmoja ..ni kupoteza muda bure kujotetea kwenye mahakama za kihalifu.
Nafikiri lengo lake ni kuweka kumbukumbu sawa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…