soma resoning ya Ndunguru uone majaji "walivyomzodoa"Kwa msaada wa akili mnemba
π
Katika lugha ya kisheria, "ushahidi wenye uzito" unatafsiriwa kama uzito wa ushahidi (evidential weight) au ushahidi wenye nguvu ya ushawishi unaomfanya jaji au hakimu kuamini ukweli wa jambo fulani. Huu ni ubora, uwezo, na thamani ya ushahidi katika kupima hatia au madai mahakamani, badala ya wingi wa mashahidi au wingi wa makaratasi.
Vipengele Vikuu vya Uzito wa Ushahidi
- Uaminifu na Ukweli (Credibility): Uwezo wa shahidi au maelezo kuaminika bila kuwa na utata au nia ovu. Shahidi mmoja mkweli anaweza kuwa na uzito mkubwa kuliko kundi la mashahidi wa uongo.
- Kukubalika dhidi ya Uzito (Admissibility vs. Weight): Ushahidi unaweza kukubalika kisheria kuingia mahakamani, lakini ukose uzito wa kutosha kuthibitisha shauri.
- Kiwango cha Uthibitisho (Standard of Proof): Katika kesi za jinai, uzito wa ushahidi unapaswa kufikia kiwango cha kuthibitisha pasina shaka yoyote ya kisheria (beyond a reasonable doubt). Katika kesi za madai, unahitaji uzito wa mizani ya uwezekano (balance of probabilities).
- Ushahidi Jumuishi (Corroboration): Wakati mwingine sheria inataka ushahidi wenye uzito uongozane na uthibitisho wa ziada ili uweze kusimama thabiti.
at whatever yardstick measure, lazima wawateue puppet judges kuendesha kesi hii, shyster judges!Nafikiri lengo lake ni kuweka kumbukumbu sawa!
Nimeisoma... Nadhani yeye haamini kwenye msingi wa ushahidi kwenye kutoa haki.soma resoning ya Ndunguru uone majaji "walivyomzodoa"
ana shift burden of proof kwa respondent , kitu ambacho kisheria is very obvious kuwa burden does not shift!...mpuuiz sana huyuNimeisoma... Nadhani yeye haamini kwenye msingi wa ushahidi kwenye kutoa haki.
Ile kesi bahati nzuri ilihusu mambo ya Ardhi, lakini hii ya Lissu uhai wa binadamu upo mashakani.
Mbona toka kitambo dunia imeshajua kuwa mahakama ya tanzania zinatumika na serikali kihalifu...kuendelea kujitetea ni kupoteza muda na kufanikisha malengo ya wahuni..Nafikiri lengo lake ni kuweka kumbukumbu sawa!
Mashaidi kamwe hawawezi tokea mahakamani..wakati kesi inaendelea ndo kutatolea tamko la msamaha na kuwa kuwa dpp hana nia ya kuendelea na kesi tenaKivipi mkuu.
Si jamaa ameanza kujitetea leo, maana j3 ni muendelezo wa kujitetea.
Ivi pia mashahidi wake raisi majaji wameamuaje ?
Ila kuna wale wa chdema ukiondoa hao vingozi wa serikalini.Mashaidi kamwe hawawezi tokea mahakamani..wakati kesi inaendelea ndo kutatolea tamko la msamaha na kuwa kuwa dpp hana nia ya kuendelea na kesi tena
Upande wa mahakama kuwaita hao mashadi umeomtaa (maana ni wmniwa ngazi za juu zaidi kuliko mahakama yenyewe)ndio maana mahakama imetupilia mbali suala la mashahidi hao (na sheria zetu kwa sasa zinakataza kulingana na uzito wa kesi yenyeweIla kuna wale wa chdema ukiondoa hao vingozi wa serikalini.
Afu sijaelewa hilo la raisi na hao wa serikakini mwiaho wa siku majaji wameamuaje, waitee waje au wamekataa
The beauty of the law.It can be twisted variouslyHaya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
π
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Sidhani kama mashahidi wote wamekataliwa!Upande wa mahakama kuwaita hao mashadi umeomtaa (maana ni wmniwa ngazi za juu zaidi kuliko mahakama yenyewe)ndio maana mahakama imetupilia mbali suala la mashahidi hao (na sheria zetu kwa sasa zinakataza kulingana na uzito wa kesi yenyewe
Hivyo ni vigumu kuona rais anapanda kizimbani kutoa ushahidi wake
Hilo ni "bot" halina uwezo wa kuelewa nnje ya kile alicholishwa,hawezi kuelewa hata maana ya mkalimani.Sasa hapo nimefanya ukalimani upi. Umeona nimeiandika kwa kiingereza. Au hata maana ya mkalimani huijui?
Afadhali ujibizane na huyo kuliko huyo unayemuita.CCM sijui mkoje... Tlaatlaah hebu msaidie huyu mwenzako kujua maana ya mkalimani.
Wewe jamaa unajua jinsi kanuni za kisheria zinavyofanya kazi? Hujawahi ona watu wanakana mashitaka na bado wanafungwa?Lissu hakukana maneno aliyosema alichua anapambania ni tafsiri ya hayo maneno.
Kama ushahidi hauna uzito au hauaminiki ametumia kigezo gani kumuona Lissu Ana kesi ya kujibu? Ni maajabuHaya maneno ya Jaji Ndunguru yanafikirisha kupita kiasi
π
Hivyo Mahakama hii haingalii uzito au kuaminika kwa ushahidi, na kwa sasa mahakama hii imeona kuwa kuna kesi imekuwa established na hivyo Mshtakiwa ana kesi ya kujibu dhidi ya ushahidi ulioletwa na upande wa mashtaka.
Mnashangaa nini sasa kwamba ana kesi ya kujibu?Wewe jamaa unajua jinsi kanuni za kisheria zinavyofanya kazi? Hujawahi ona watu wanakana mashitaka na bado wanafungwa?