Jaji Stela Esther Augustine Mugasha kama kajitoa mhanga, kwa mifumo yetu atadumu?

Mbona hiyo barua has nothing to do with masuala ya Bandari????!!!
Hakuna sehemu nimeandika mh. Jaji kadeal na badari.

The issue ni je, kama upande huo Jaji kaona katiba inakanywaga na kajitoa mhanga how kwa hii issue ya bandari?
 
Embu leteni Barua kamili ya Jaji.

Msije kua mnatumia Gap, mwisho kumpotezes ugali wake


Tuendelee kupiga kelele kuhusu DP world!!!!.
 


Nashawishika haya ni maslahi maana katiba imevunjwa mara nyingi sana sana na sikuwahi msikia.
 

Aksante Hon Judge SE A Mugasha.
Ktk Mahakama zetu, umeweza kuweka alama.
History itakukumbuka daima.
[emoji120]
 
Kwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
Yeye kila Jambo anashauriwa vibaya🤔🤔aggrrrh Kuna walakin kwenye uwezo wa huyu maza 👀
Btw jaji mugasha ni mwanamke wa shoka aka the iron lady🙏 nampigia salute.
 

Mkuu hebu weka andiko zima tafadhali
 
Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Hata kama ni mnafiki lakini ametimiza wajibu wake
 
Kipindi cha utawala wa JPM alikuemo nchini? Kama ndiyo aache unafiki akae kimya kama alivyo ka kimya wakati jpm ana nagisi mihimili ya nchi, ka ni hapana hakuepo na muonea huruma hi nchi inatawaliwa na CCM sia sharia
Kila kitu unakimbilia Kwa JPM utapopolewa we la saba, huyo sio mlamba makalio ya watu na Hana njaa ya ukoo kama ww
 
Huyu ni Jaji Hana Cha kupoteza
 
Tuta Kuja kuuana soon hakika hii halikubariki
 
The difference btn an agreement and a contract, yaani huu mkataba sijui makubaliano yamenifanya nirudi darasan semester ya kwanza kabisa,

The so called makubaliano yamejaa clauses zinazotubana watanzania tusiwe na maamuzi juu ya bandari yetu, afu mtu anasema sio mkataba ni makubaliano ya awali??
Nyieeee uchawi upo.
 
Kwenye suala la Prof Juma. Mheshimiwa Rais alishauriwa vibaya. Niliandika uzi humu sio vizuri sana Rais kuonekana anavunja katiba waziwazi hivi. Jaji Mugasha yupo sahihi kwenye hili
Kwani yeye ubongo wake huwa haambatani nao?
 

kwani alishindwa kutoa maoni yake kwenye mamlaka hadi aandike barua na kuzisambaza kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamiii?!

nadhani huu ni utovu mkubwa wa nidhamu na anapaswa achukuliwe hatua za kinidhamu kwa kutoa taarifa za kiofisi nje.

tabia hii isiachiliwe ikaendelea, kuna watu wanafiki na wazandiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…