Jaji warioba apumzike asijiharibie heshima ambayo ilipambwa tu!

Tulia wewe, huwa hamuachi kuwanangananga wastaafu wanapowanyoshea kidole mnapofanya abrakadabra zenu za kisiasa. Mnapenda wakae kimya bila kuwasema, mtasemwa tu mpaka mjirekebishe
 
Kwahiyo mkitaka kuonekana mnajua mnachobishania ndo mtumie Kimombo eti?? Haya sasa , sisi wa kawaida tunasema hata kama Warioba hakufanya kitu cha maana , ile kuwa mtanzania mwenye akili timamu yatosha kukosoa na kushauri mambo yoyote yenye mtizamo wa kitaifa. So warioba hajakosea..kwanza mzee dawa..waliokuwa wakimteua enzi hizo waliona umuhimu wake. Mtoa mada anaweza kuwa nanpoint lkini tunarekebisha tu asimbeze sana mzee wetu, labda ashauri apumzike tu kwakuwa kizazi chetu cha sasa kina mapungufu mengi ya kiuzalendo nk..hata Muungano tunasoma kama hadithi.
 
Mzee anatafutia kizazi chake kamba Yao urefu...wkikwikwiii
 
Mungu ambariki mzee wetu Jaji Joseph Warioba! Tanzania inao uhitaji mkubwa sana wa wazee wenye HEKIMA kama Jaji Warioba!
 
Je kuna baya gani amelifanya
 

Haya tushakulewa uvccm, jibu sasa hoja zake kama mtanzania mwingine yoyote angetoa bila kujali historia yake sasa uwanja ni wako! Usipompa heshima wewe nani? Atapewa na wengine wanaoona thamani yake, we kampe makonda
 
Acha ujinga wewe. JPM alikuwa mzalendo hakutaka bla bla. Amewajengea uwezo amewapa maono kama SGR, umeme, maji nchi nzima. Kupunguza rushwa. Wote ni wnufaika.
Alipunguza rushwa au alizuia uhuru ww vyombo vya habari visitangaze mambo negative kwenye serekali yake?Au unadhani wakati wa utawala wake tulikuwa uhamishoni?
 
Wewe wewe kweli ni KENGE 🤔🤔
 
Alipunguza rushwa au alizuia uhuru ww vyombo vya habari visitangaze mambo negative kwenye serekali yake?Au unadhani wakati wa utawala wake tulikuwa uhamishoni?
Maisha ya wananchi wa kawaida yalikuwa na nafuu. Sera zake zililenga kumsaidia maskini.

Ndio hakuwa na uvumilivu sababu alijua muda wake, wetu hapa duniani ni mchache. Huwezi kumsikiliźa kila mpiga kelele otherwise huwezi kufanya kitu chochote.

Umeme. Maji, ulipatokana huduma serikalkni. Rushwa ilipungua. Haki kwa wananchi wengi ilizingatiwa. Alikuwa anasokiliza na kuongea na wananchi kila siku kwenye ziara zake.
 
Wenye akili watajuwa jaji warioba na serikali kipi kinafaa kupumzika,uzuri mriyoyafanya hata kama mrifanyia gizani hamkufanya kwa bahati mbaya hata wenyewe mnajua mlifanya
 
Mlisha sema mmejipanga kumjibu naona wahuni mmeshakurupushwa mapangoni wewe kama wa tano nakutana nawewe leo,Mzee kamatia hapo hapo hadi tuwaone wahuni wote waliotoka mapangoni
 
Haha ndo maana akanyimwa ukumbi wa kufanyia mikutano pale manispaa kinondoni ili apumzishwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…