Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete rasimu yako iliyokamilikaRasimu ya Warioba ina mapungufu mengi tu. Mzee alikuwa ana nia ovu ya kuuvunja muungano.
Mzee anatafutia kizazi chake kamba Yao urefu...wkikwikwiiiNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Huyu Mzee akisemwa ni kama mtu mzuri ukifanya naye kazi ndiyo utamjua huo uzalendo hata haupoRasimu ya Warioba ina mapungufu mengi tu. Mzee alikuwa ana nia ovu ya kuuvunja muungano.
Mungu ambariki mzee wetu Jaji Joseph Warioba! Tanzania inao uhitaji mkubwa sana wa wazee wenye HEKIMA kama Jaji Warioba!Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Je kuna baya gani amelifanyaNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Siyo Uwaziri Mkuu tu, alishawahi kufanya kazi katika taasisi za kimatiafa! Mzee anaheshimika kitaifa na kimatiafa!Heshima haikupambwa, uwaziri mkuu sio mchezo, kwani alipambwa katika kupewa hicho cheo?
Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Alipunguza rushwa au alizuia uhuru ww vyombo vya habari visitangaze mambo negative kwenye serekali yake?Au unadhani wakati wa utawala wake tulikuwa uhamishoni?Acha ujinga wewe. JPM alikuwa mzalendo hakutaka bla bla. Amewajengea uwezo amewapa maono kama SGR, umeme, maji nchi nzima. Kupunguza rushwa. Wote ni wnufaika.
wewe kweli ni KENGE 🤔🤔Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Maisha ya wananchi wa kawaida yalikuwa na nafuu. Sera zake zililenga kumsaidia maskini.Alipunguza rushwa au alizuia uhuru ww vyombo vya habari visitangaze mambo negative kwenye serekali yake?Au unadhani wakati wa utawala wake tulikuwa uhamishoni?
Wenye akili watajuwa jaji warioba na serikali kipi kinafaa kupumzika,uzuri mriyoyafanya hata kama mrifanyia gizani hamkufanya kwa bahati mbaya hata wenyewe mnajua mlifanyaNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Mlisha sema mmejipanga kumjibu naona wahuni mmeshakurupushwa mapangoni wewe kama wa tano nakutana nawewe leo,Mzee kamatia hapo hapo hadi tuwaone wahuni wote waliotoka mapangoniNikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.
Hata hivyo kwa upendo tu wa watanzania tulimjengea heshima unaweza kusema hata kwa kuokoteza tu ilimradi mzee huyu aliyewahi kushika nyadhifa kubwa aheshikike.
Nimshauri tu kiroho safi kuwa ..ukimya ni busara kubwa...!!
Mada hii nimeileta mahususi kwa kukasirishwa na matamshi ya Jaji Warioba kuisema vibaya Serikali ya Awamu ya Tano!
Hili ni kosa na uvunjifu mkubwa wa adabu na kamwe haliwezi kuachwa likaenda hivi hivi...
Serikali ya awamu ya Tano iliwahi kumteua kushika nafasi ya heshima mwaka 2016/17 iwapo Serikali hii ilikuwa na makosa angekataa kufanya nayo kazi au angejiuzulu baada ya kuona inafanya makosa.
wastaafu wajiheshimu tena wajiheshimu sana.
By the way Polisi wanaomlinda leo hii ni hawa hawa anaowasemea au kuna wengine??
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Haha ndo maana akanyimwa ukumbi wa kufanyia mikutano pale manispaa kinondoni ili apumzishwe?Nikitafuta sana ni kipi signifcant and iconic kilichowahi kufanywa na Jaji warioba katika nyakati zake akiwa madarakani nakosa.