Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,200
- 12,762
Bashiru ni mpumbavu kupindukia hana heshima ya kusema aliyoyasema.Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya...
Maisha yamempiga?Mzee maisha yamempiga, anahaha tu kutafuta ajira kupitia wapiga debe wa katiba mpya.
Huyu alikaa na Nyerere kwa miongo kadhaa, hakumshauri kuhusu katiba, na aliiacha nchi imefilisika, kwa Sasa hivi hana la kutushauri, ni mtu wa hovyo tu, na pia alikula Hela katika kashfa ya meremeta.
Matapeli wa kisiasa waliobaki
Ni kweli kabisa Bepari2020Haya ni matunda ya mfumo mbovu alioujenga Nyerere.
Kabisa mkuu...Inawezekana hajawatuma lakini anafurahia.
Sijui kama mzee mwenzangu Kinana ataelewa somo hili. Ila kinana ameonesha kutokukomaa kisiasa, huenda kuna jambo maalum anataka kulilinda- bora aliyetoa maoni ni inner circle wao, sipati picha kama maoni haya yangetolewa na mimi nyamuryakunge pakarapakacha nykorobhoke?, hata masheikh wangetia nenoWAZIRI Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba, ameeleza kuwa Balozi Bashiru Ally, hajafanya kosa lolote hakustahili kushambuliwa. Amesema, watu wajibu hoja badala ya kumshambulia yeye binafs...
Wanataka kusifiwa pekeeViongozi wote wa tanzania maarufuku kukosolewa
Ova
Mzee alikuwa wapi ilipoharamishwa kumkosoa kiongozi? Kudai haki hiyo ndio anaibukaView attachment 2423666
Mzee Warioba kasema kukosolewa kwa kiongozi siyo dhambi na pamoja na matatizo ya Wakulima lakini Wafugaji na Machinga pia wanakumbwa na matatizo ambayo wenye mamlaka yawapasa kuwasaidia.
NB: Bashiru siyo Ndugai.
Jibu lake anamjuwa Ndungai? anamjuwa Kabudi? Polepole? ila yeye safari yake nyingine yule mhaya kayakanyaga..
sidhani huwa kweli wanaelewana bali ninachokiona ni unafki mkubwa uliopo ndani ya wanachama wa chama hicho.uchawa umejaa ndani ya ccm.ni kijiwe cha wasaka tonge.CCM ni chama cha kidemokrasia ndio maana watu wanatofautiana na mwisho wanaelewana.
Mpumbavu hata umuunge kwa nazi na vitunguu anabakia kuwa mpumbavu tu.Mlitaka kujua Bashiru yuko na akina nani
Kwani amekuomba umtetee mbona unaongea pumba...tatizo la Dr.Bashiru ni uongo, ufedhuli, na ukatili, aliokuwa akiuunga mkono wakati akiwa Katibu Mkuu wa Ccm.
..kuna watu walifungwa, wametiwa ulemavu, wamepotezwa, kwa kuwa walikuwa wakosoaji wa Ccm na serikali yake wakati Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa chama...
Na hiyo ndio demokrasia. Mnakosana ndani mnaelewana mkowa nje.Huwa hawaelewani, bali wakati wa uchaguzi inabidi wawe wamoja kinafiki, maana wanajua wakipoteza uchaguzi nusu yao wataishia jela kwa dhuluma walizofanyia nchi hii.
Ndio. Na unajua Chacha Wangwe kilimtokea nini baada ya kutofautiana na wenzake?Kama vile walivyoelewana na Ndugai,kwa kumpa za uso.
Uzuri wa nyakati huwa zimegawanyika, kuna wakati wa kucheka na kulia. Anaye tenganisha hivi vitu huwa ni muda tu.
Asipo Mjibu kamuogopa AKIMJIBU basi mme wake😂😂😂😂Mjibu Dr.Bashiru
Ndo hivyo anaupiga mgao mwingi,..Ndo walete umeme, sio wanamsifu Eti " Anaupiga mwingi'' wakati tupo gizani hata kombe la dunia hatuangalii".
Mwingi'' upi tena anaopiga gizani😠😠